• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Ujenzi wa Madarasa 24 mapokezi ya kidato cha kwanza 2023 Wilaya ya Siha unaendelea

Posted on: November 15th, 2022



mwenyekiti Halmashauri ya Siha mhe.Duncan Urassa 15 Novemba,2022 akikagua ujenzi wa Madarasa mapya matatu katika shule ya Sekondari Magadini Kata ya Gararagua.


mhe.Duncan Urassa Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Siha atembelea na kufanya ukaguzi wa ujenzi wa Madarasa mawili katika shule ya Sekondari Nuru Kata ya Makiwaru Wilaya ya Siha tarehe 15 Novemba,2022




ujenzi wa Madarasa matatu na nyumba ya mwalimu ukiendelea hivi karibuni katika shule ya Sekondari Karansi Wilayani Siha Kilimanjaro.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Siha mhe.Duncan Urassa akikagua ujenzi wa Madarasa mapya ya kidato cha kwanza 2023 katika shule ya Sekondari Esinyari Kata ya Olkolili Wilayani Siha mkoa wa Kilimanjaro.


ujenzi wa shule mpya Kijiji Cha Munge Kata ya Donyomuruak ukiendelea,shule hii inajengwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na Tayari imepokea shilingi milioni 250 Kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa 9, vyoo vya Walimu matundu 4 na vyoo vya Wanafunzi matundu 26 pamoja na ofisi za Walimu katika shule hiyo.

Matangazo

  • MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI YA SIHA ILIYOIDHINISHWA MWAKA 2022/2023 August 18, 2022
  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA SHILINGI MIL.480 UJENZI WA MADARASA MAPYA SIHA DC KILIMANJARO October 13, 2022
  • TANGAZO MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI BAJETI MWAKA 2023.2024 January 27, 2023
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Makadirio ya Bajeti Siha DC 2023.2024

    February 01, 2023
  • Mkutano Maalum Baraza la Madiwani Siha 31 Januari,2023

    January 31, 2023
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE MWAKA 2022 SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA SIHA

    January 29, 2023
  • WANANCHI KASHASHI WILAYANI SIHA WAMSHUKURU RAIS SAMIA UJENZI BARABARA

    January 27, 2023
  • Ona Zote

Video

MADIWANI HALMASHAURI YA SIHA WAPATA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA FEDHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.