• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Tuwahamasishe Wananchi Wajitokeze Kuboresha Taarifa kwenye Daftari la Mpiga Kura - Dkt Mnasi

Posted on: August 26th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha amewahimiza Wah. madiwani kwa kushirikiana na watendaji wa kata na vijiji kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kuboresha taarifa zao katika daftari la mpiga kura.

Akizungumza leo Agosti 26, 2024 kwenye kikao cha baraza la waheshimiwa madiwani la kujadili taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2024 kilichofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Halmashauri, Dkt Haji Mnasi amesema wananchi wakijiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye daftari la kudumu la mpiga kura litamwezesha kuchagua viongozi wanaowahitaji.

Amesema zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la mpiga kura litaanza siku chachge zijazo katika mkoa wa Kilimanjaro, hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi.

"Tunaendelea kufanya maandalizi wa uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura mwezi septemba na uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 27 Novemba 2024 kama ambavyo Waziri mwenye dhamana alitangaza kwa hiyo ipo haja sasa ya kuendelea kuwahamasisha wananchi katika maeneo tunayoyaongoza wajiandikishe na kuboresha taarifa zao ili wapate haki yao ya msingi ya kupiga kura" Amesema Dkt Mnasi.

Kikao cha Baraza la Waheshimiwa Madiwani la kujadili taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2024 ni utekelezaji wa agizo namba 31 (1) la memoranda ya fedha ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa ya mwaka 2009 inayomtaka Afisa Masuhuli kuandaa na kuwasilisha Hesabu za mwisho kwa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango, Baraza la Madiwani hatimaye kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.