• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

TUFUATE MISINGI YA UADILIFU NA UWAJIBIKAJI - DKT TIMBUKA

Posted on: August 19th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amesihi viongozi wapya wa bodi ya maji ya Lawate – Fuka waliochaguliwa kufuata misingi ya uadilifu na uwajibikaji ili kutatua kero na malalamiko ya wananchi katika kata zote tisa zinazohudumiwa na bodi hiyo.

Mhe. Dkt Timbuka ametoa rai hiyo leo Agosti 19, 2025 kwenye Mkutano wa  uchaguzi wa viongozi wa bodi ya maji ya Lawate – Fuka uliofanyika katika ukumbi wa RC – Sanya Juu amabpo amewahimiza kufanya kazi kama timu moja ili wananchi wanaohudimiwa na bodi hiyo wapate huduma ya maji.

Amewasihi viongozi wote kushirikiana na kuwa wafuatiliaji ili kubaini sababu zinazochangia kukatika kwa maji na kuwafahamisha wananchi.

“Niwaombe tukatatue kero za wananchi kwenye bodi zetu za maji ikiwemo mambo ya kubambikia bili na maji kukatika bila taarifa kwa kuongeza uwazi na kutengeneza makundi sogozi yatakayosaidia kufikisha taarifa kwa wananchi” amesema Mhe. Dkt Timbuka.

Amewaelekeza viongozi wa bodi waliochaguliwa kushirikiana wa wakala wa maji safi na usafi wa mazingira Wilaya (RUWASA), wenyeviti wa vijiji na watendaji wa kata na vijiji kubaini na kuzishughulikia changamoto au kero zinazoibuliwa na wananchi kwa wakati.

Naye, Mwenyekiti mpya wa bodi ya maji ya Lawate - Fuka Ndg. Nicholas Kombe amewashukuru wajumbe wa bodi kwa kumchagua na kuwaomba waendeleze ushirikiano ili kuwatumikia wananchi.


Matangazo

  • TANGAZO UTOAJI WA CHANJO HOMA YA MAPAFU NA UTAMBUZI WA NG'OMBE KWA HERENI WILAYA YA SIHA September 10, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA 2025/2026 September 15, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA MTAKUWWA SIHA WAPATIWA MAFUNZO KUKOMESHA UKATILI

    October 02, 2025
  • Maadhimisho siku ya Usafi Mazingira,Wananchi wajitokeza kwa wingi

    September 26, 2025
  • RC BABU AIPONGEZA SIHA DC KWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MASHULENI

    September 24, 2025
  • TEF YATOA BIMA ZA MISHA KWA VIKUNDI VYA MWITIKIO WA HARAKA SIHA

    September 22, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.