• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

TOENI USHIRIKIANO KUWEZESHA UWEKAJI MIPAKA YA VIJIJI - Dkt TIMBUKA DC SIHA

Posted on: June 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe dkt Christopher Timbuka amewazitaka halmashauri za vijiji sita vya Tarafa ya Siha Kusini kutoa ushirikiano kwa Maafisa Ardhi Mkoa na Wilaya wanaopima na kurasimisha mipaka ya vijiji ili kuviwezesha kutambua mipaka na kupanga matumizi bora ya ardhi.

Mhe Dkt Christopher Timbuka ametoa wito huo Juni 06, 2024 wakati wa kikao kazi na Halmashauri ya Vijiji Sita (6) vya Tarafa ya Siha Kusini kilichofanyika katika Shule ya Awali na Msingi Munge chenye lengo la kutoa elimu ya kubainisha na kupima mikapa ya vijiji ili kuviwezesha kuwa na ramani zinazoonesha maeneo ya vijiji.

Amesema ubainishaji na upimaji wa mipaka ya vijiji ukikamilika utaviwezesha vijiji kupata vyeti vya ardhi vitakavyowezesha serikali za vijiji kutoa hati za kimila kwa wananchi wanaomiliki ardhi na kupanga matumizi bora ya ardhi.

“Hii itasaidia sana katika kupunguza migogoro baina ya kijiji na kijiji kwani vijiji sasa vitapata ramani zinazoonesha mipaka ya vijiji na wataweza kuyasimamia vizuri maeneo yao na kufanya maendelezo kwa kupanga matumizi bora ya ardhi ndani ya kijiji” amesema Mhe Dkt Christopher Timbuka.

“Hii ni hatua ya kwanza kuelekea katika hatua ya pili ambapo sasa vijiji vitapatiwa vyeti vya ardhi vitakavyowezesha Halamashauri za vijiji kutoa hati za kimila kwa ajili ya umiliki ya ardhi kwa wananchi wenye ardhi, na zoezi hili linaanza rasmi juni 07, 2024 katika kijiji cha Munge na kuendelea katika maeneo mengine ya tarafa ya siha kusini” ameongeza Mhe Dkt Timbuka.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Maafisa Ardhi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mwakilishi wa Kamishna wa Ardhi Mkoa, Mtekelezaji wa maelekezo ya baraza la mawaziri Mkoa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Maafisa Ardhi Wilaya, Watendaji wa Vijiji, Wenyeviti na Wajumbe wa Halmashauri za Vijiji.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.