• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

TAWREF Yatambulisha Mradi wa Mjenge Mtoto Kwanza Wilaya ya Siha

Posted on: August 29th, 2024

Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu Costantine Mtiti (kwanza kulia) kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Dkt Haji Mnasi akifuatilia wasilisho la mradi wa Mjenge Mtoto Kwanza (Early Childhood Development) unaotekelezwa na shirika la Tanzania Women Research Foundation - TAWREF katika kata ya Donyomurwak, Kijiji cha Embukoi kwenye Kitongoji cha Lembolosi kwa kujenga darasa shikizi la awali moja lenye ofisi ya mwalimu na choo cha watoto.

Utambulisho wa mradi wa Mjenge Mtoto kwanza katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha umefanyika leo Agosti 29, 2024 katika ukumbi mdogo wa makao makuu ya Halmashauri.

Mradi huo unalenga kuwaondolea watoto wa awali adha ya kutembea umbali wa kilomita 7 kwenda shule, kuwapa fursa ya ujifunzaji wa awali na kuwasaidia katika ukuaji waweze kuwa watu bora katika jamii.

Akizungumza baada ya utambulisho wa mradi, Costantine Mtiti amelishukuru shirika la TAWREF kwa kuendelea kumjali mtoto na kuichagua Wilaya ya Siha kutekeleza mradi huo wenye lengo la kuwasaidia watoto ili kuwajenga kiakili na kimakuzi.

Amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi hiyo ili kuwezesha shughuli za ujenzi wa darasa hilo la awali katika kitongoji cha Lembolosi unakamilika na kuleta manufaa yaliyokusudiwa kwa watoto.

Meneja wa mradi wa Mjenge Mtoto Kwanza kutoka taasisi ya Tanzania Women Research Foundation - TAWREF akitambulisha mradi huo kwa Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha leo Agosti 29, 2024 kwenye ukumbi mdogo wa makao makuu ya Halmashauri.

Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu Costantine Mtiti (kwanza kulia) kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Dkt Haji Mnasi akifuatilia wasilisho la mradi wa Mjenge Mtoto Kwanza (Early Childhood Development) unaotekelezwa na shirika la Tanzania Women Research Foundation - TAWREF pamoja na maafisa wengine wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha leo Agosti 29, 2024 kwenye ukumbi mdogo wa makao makuu ya Halmashauri.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.