• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

SIHA YAPATA MAFANIKIO UTOAJI ELIMU MAALUM MWAKA 2019

Posted on: April 4th, 2019

SIHA YAPATA MAFANIKIO ELIMU MAALUM

Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro imekuwa miongoni mwa Halmashauri za mfano katika kutoa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalumu (watoto wenye Usonji).Hayo yamebainika katika maazimisho ya siku ya Usonji dunia ambayo kila mwaka hufanyika tarehe 2 April,,ambapo katika Wilaya ya Siha mwaka 2019 yamefanyika katika Shule ya Msingi Sanya Juu.

Katika kutekeleza uboreshaji wa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum,Halmashauri ya Wilaya ya Siha inazo jumla ya shule 4 za msingi zinazotoa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum(Usonji) ,shule hizo ni pamoja na Shule ya Msingi Nuru,Sanya Juu,Faraja na shule ya Msingi Naibili.

Katika shule hizo kwa mwaka huu 2019 zina jumla ya watoto 147 ambapo watoto wote wanaosoma wana mahitaji maalum(Usonji) ,Aidha walimu wenye taaluma ya kutosha na waliobobea wanafundisha shule hizo kulingana na mahitaji ya watoto husika.

Kuwepo kwa mafanikio haya kumetokana na ushirikiano mzuri uliopo kati ya wazazi na wadau mbalimbali wa elimu ikiwemo Serikali ya awamu ya tano ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo mdau namba moja katika kufanikisha zoezi hili muhimu la kuwapatia elimu watoto wa Kitanzania bila kujali tofauti za kijinsia,maumbile wala maeneo mtoto anapotoka.

Katika kipindi cha Serikali ya awamu ya tano (2015 hadi sasa 2019) tumeshuhudia ongezeko kubwa la wanafunzi wenye mahitaji maalum wakipelekwa mashuleni na wazazi pamoja na walezi wao, hii imetokana na Sera nzuri ya Serikali ya awamu ya Tano ya utoaji wa elimu bila malipo katika shule zote za Serikali kuanzia ngazi ya awali hadi elimu ya kidato cha nne.

Watoto wenye mahitaji maalum wakishiriki zoezi la upandaji wa Miti katika eneo la shule ya Msingi Sanya Juu tarehe 2.4.2019


Watoto wa  darasa la Nne na Tatu katika shule ya Msingi Sanya Juu wakifurahia kushiriki katika maazimisho ya siku ya Usonji Duniani tarehe 2.4.2019,ambapo Kiwilaya yalifanyika shule ya Msingi Sanya Juu.


Kupata ushauri uliotolewa kwa wazazi katika maazimisho hayo bofya 

1. Hapa

2. soma hapa pia

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.