• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Siha yapata mafanikio makubwa huduma ya chanjo kwa Watoto 2016/2017

Posted on: October 24th, 2017

Utoaji wa Chanjo Wafanikiwa Wilaya ya Siha mwaka 2016/2017

Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro imefikia zaidi ya asimia 96 ya huduma ya utoaji wa chanjo mbalimbali ya kujikinga na magonjwa kwa watoto Wilayani hapa.

Katika taarifa ya mwaka 2016/2017 iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Valerian Juwal katika mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani lililokutana mwezi Oktoba katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha.

Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji ilieleza kuwa katika huduma ya utoaji wa chanjo mbalimbali kwa watoto, halmashauri ya Wilaya ya Siha imefanikiwa kutoa chanjo ya matone ya vitamin A na dawa za minyoo hadi kufikia asilimia 96.7.

Aidha taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji ilieleza kuwa,katika huduma ya utoaji wa chanjo ya kansa ya shingo ya kizazi kwa watoto wa kike wenye umri chini ya miaka 14,zoezi hilo pia lilifanikiwa kwa zaidi ya asilimia 87.

Mkurugenzi Mtendaji alieleza Baraza la Madiwani kuwa, Halmashauri ya Wilaya ya Siha ni miongoni mwa Halmashauri za Wilaya hapa nchini zilizofanya vizuri katika usimamiaji wa zoezi zima la utoaji chanjo kwa watoto.

Alieleza kuwa siri ya mafanikio ya zoezi hilo ni ushirikiana wa dhati baina ya Wananchi ,viongozi na wadau wengine wa maendeleo katika Wilaya ya Siha.

Hata hivyo, Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Siha aliwaomba wananchi na viongozi wa Siha kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania za kuboresha afya ya wananchi wake hasa utoaji wa chanjo unaosaidia kutoa kinga mbalimbali kwa watoto.

Vile vile,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha alieleza Baraza la Madiwani kuwa huduma ya chanjo zote alizozitaja hutolewa bure kwa kugharamiwa na Serikali na hivyo kuwataka wananchi kutoa taarifa mara moja iwapo watatokea watu wanaowadai fedha za kulipia huduma hiyo.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2012 Halmashauri ya Wilaya ya Siha inajumla ya watu 116,313 wakiwemo wanaume 56,500 na wanawake 59,813.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.