• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Siha yanufaika ujio wa Makamu wa Rais wa Tanzania

Posted on: November 14th, 2018

Siha yapata Mafanikio makubwa ziara ya Makamu wa Rais tarehe 13/11/2018

Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro imepata mafanikio makubwa yaliyotokana na ziara  ya siku moja tarehe 13/11/2018 ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan.

Katika ziara hiyo ya siku moja ya Mhe Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo  aliweka jiwe la msingi katika Hospital ya Wilaya ya Siha na kuahidi Serikali kutoa shilingi 1.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa majengo mbalimbali ya kutolea huduma.

Makamu wa Rais wa Tanzania mhe Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi katika Hospital ya Wilaya ya Siha tarehe 13/11/2018

Pili,Serikali kupitia Waziri wake wa  Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi mhe William Lukuvi iliwatoa hofu wananchi wa Kijiji cha Kilari kuwa hawatahamishwa katika eneo wanaloishi kutokana na mgogoro uliokuwepo hapo awali.

Tatu, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa ahadi ya kuwapatia maeneo ya makazi wananchi wa Kata za Ngarenairobi na Ndumeti Tarafa ya Siha Magharibi.

Nne,Serikali kupitia Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI mhe Suleiman Jaffo imetoa ahadi ya kuwapatia kituo cha afya Wananchi wa Kata ya Ndumeti hususani kijiji cha Matadi,kupatikana kwa kituo hicho kutasaidia kuwapunguzia wananchi usumbufu wa kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya

Pia, Makamu wa Rais wa Tanzania ametoa ahadi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Magufuli kuendelea kuboresha miundombinu ya ujenzi wa  barabara  katika Wilaya ya Siha.

Wananchi wa Tarafa ya West Kilimanjaro walimpokea makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kifalme baada ya kuwasili kijiji cha Matadi siku ya Jumanne tarehe 13/11/2018.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.