• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

SIHA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE KWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI WA GARARAGUA

Posted on: October 30th, 2024

Wilaya ya Siha imeadhimisha Siku ya Lishe leo Oktoba 30, 2024 kwa kutoa elimu ya lishe (Makundi ya chakula na matumizi yake wakati wa uandaaji wa chakula), afya ya mama na mtoto na usalama wa chakula kwa wananchi wa Kijiji cha Magadini Kata ya Gararagua.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya lishe yaliyoyanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania - KKKT, Usharika wa Wiri, Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amewahimiza wananchi kuwapa lishe bora watoto ili kupunguza au kuondoa hali ya udumavu kwa watoto unaosababishwa na ukosefu wa lishe bora.

Amesema takwimu za kitaifa zinaonesha asilimia 30 ya watoto wana tatizo la udumavu, hivyo wananchi wanatakiwa kuboresha hali ya lishe kwa watoto kuanzia wakati wa ujauzito hadi wanapotimiza umri wa miaka mitano.

Amesema wananchi wakiboresha lishe ya watoto, wanawake wajawazito na jamii kwa ujumla itasaidia kuimarisha afya na kuondokana na changamoto ya udumavu.

"Matumaini yangu ni kwamba wote mliofika hapa mtatumia elimu mliopata hapa na kuboresha hali ya afya na lishe katika maeneo yenu, ili hatimaye tuwe na Wilaya yenye watoto wenye afya njema watakaotekeleza majukumu yao ya kila siku" amesema Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka.

Maadhimisho ya siku la lishe kitaifa yanaongozwa na kaulimbiu isemayo, "Mchongo ni Afya Yako, Zingatia Unachokula"

Elimu ya Lishe, Afya ya Mama na Mtoto na Usalama wa chakula ikitolewa kwa wananchi katika maadhimisho ya siku ya lishe yaliyofanyika kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania - KKKT, Usharika wa Wiri leo Oktoba 30, 2024.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.