• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

SIHA YAADHIMISHA JUMA LA ELIMU YA WATU WAZIMA

Posted on: September 27th, 2024

Katibu Tawala wa Wilaya ya Siha Jane Chalamila amesema elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi umeleta manufaa makubwa kwa walengwa kupitia programu mbalimbali, ikiwa ni Pamoja na Mpango wa Elimu Msingi kwa walioikosa (MEMKWA) na Mpango wa uwiano kati ya elimu na jamii (MKEJA).

Katibu Tawala Chalamila amesema hayo leo septemba 27, 2024 katika kilele cha maadhimisho ya juma la elimu ya watu wazima Wilaya ya Siha yaliyofanyika katika kituo cha walimu Sanya Juu ambapo amesema elimu hiyo imewawezesha walengwa kupata mafunzo ya ufundi na utaalamu wa aina mbalimbali ikiwemo kilimo, ufugaji, masuala ya umeme, upishi, ushonaji, usindikaji vyakula, utengenezaji wa sabuni, ususi, mapambo na vifaa vingine tumizi.

Amesema ujuzi wanaojengewa walengwa wa elimu ya watu wazima unawawezesha kuanzisha shughuli mbalimbali za kijasiriamali hali inayowapa faida za kiuchumi na kijamii kupitia kazi zao zinazoonekana bayana.

Katibu Tawala Chalamila amewashukuru wadau wa maendeleo na wataalamu wanaotoa elimu pamoja na uwezeshaji kwa wanafunzi na vikundi lengwa katika mpango huu wa kupata elimu nje ya mfumo rasmi.

Aidha, amewaasa wadau wa elimu kuendelea kusimamia kwa umakini programu zilizopo kwa lengo la kupanua wigo wa maendeleo ya Wilaya ya Siha na Taifa kwa ujumla.

"Wananchi wote wasiojua kusoma na kuandika tunawahamasisha kujitokeza na kujiandikisha kwenye vituo vya elimu ya watu wazima ili mupate kuelimika na fursa zilizopo kwenye programu kwa maendeleo yenu na taifa kwa ujumla" ameongeza Katibu Tawala Jane Chalamila.

"Niwapongeze pia viongozi wa ngazi ya Mkoa na Wilaya kwa kusimamia programu za masomo na mafunzo ambazo zimeonekana kuwa na manufaa kwa walengwa na ninawaaalika wadau wa elimu kuendelea kushirikiana na serikali katika kuwezesha ufanisi wa programu mbalimbali za elimu ya watu wazima kwenye Wilaya yetu ya Siha" amesema Katibu Tawala Chalamila.

Kauli mbiu maadhimisho hayo ni "Ujumuishi katika elimu bila ukomo kwa ujuzi, ustahimilivu, amani na maendeleo."



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.