• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Siha vinara utoaji huduma za afya mkoani Kilimanjaro 2018

Posted on: July 20th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Siha imeshika nafasi ya kwanza mkoa wa kilimanjaro kwa utoaji bora wa huduma za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya kwa mwaka 2018.

Tuzo hiyo imetolewa na mheshimiwa Anna Mghwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro  alipokutana na wadau wa afya mkoa wa kilimanjaro  Wilayani Mwanga hivi karibuni.

Kabla ya kutoa tuzo hiyo Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alizitaka Halmashauri nyingine katika mkoa wa Kilimanjaro kuiga mfano wa halmashauri ya Wilaya ya Siha ili kufikia malengo ya Serikali ya awamu ya tano katika uboreshaji wa huduma za afya kwa jamii.

akipokea tuzo hiyo mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Valerian Juwal aliwapongeza na kuwashukuru watumishi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa kutimiza majukumu yao vema na kuiletea halmashauri ya siha sifa kubwa ndani ya mkoa wa Kilimanjaro.

"Napenda kuwapongeza sana watumishi wa sekta ya afya katika Halmashauri yangu kwa kufanya kazi nzuri,hivyo nawaomba muendelee na huduma yenu nzuri ili mwakani tena siha izidi kushika hatamu" alisema Juwal.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe Anna Mghwira akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza huduma bora za afya mkoa wa kilimanjaro 2018 kwa viongozi wa Wilaya na Halmashauri ya  Siha tarehe 19 julai,2018 alipokutana na wadau mkoa Wilayani Mwanga


Halmashauri ya Wilaya ya Siha imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2018 na kuzishinda halmashauri nyingine 6 katika mkoa wa kilimanjaro. 

Mkoa wa Kilimanjaro unajumla ya Halmashauri 7 huku Halmashauri ya wilaya ya siha ikiwa ni Halmashauri changa kuanzishwa ukilinganisha na nyingine zilizopo

Halmashauri ya Wilaya ya Siha ina jumla ya Zahanati 15,vituo vya afya 5 na hospital 2,hospital  moja ya Wilaya na nyingine hospital ya taifa ya kifua kikuu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.