• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

shule ya Kata Siha yatoa mwanafunzi Bora Kitaifa kidato cha sita 2018

Posted on: July 13th, 2018

Shule ya Kata Wilaya Siha yatoa mwanafunzi bora Kitaifa

Hatimaye shule inayomilikiwa na Wananchi Wilaya ya Siha shule ya sekondari Sanya Juu(Sanya day) imefanikiwa kutoa mwanafunzi aliyeingia katika orodha  ya wanafunzi  kumi bora kitaifa kwa masomo ya Sayansi.

Hii ni kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha sita 2018 yaliyotangazwa na katibu wa baraza la mitihani Tanzania (NECTA) Dkt. Charles msonda mapema leo asubuhi.

Matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania yameonyesha kuwepo kwa jina la mwanafunzi ADELARD MASSAE kutoka  orodha ya wanafunzi kumi bora kitaifa kwa masomo ya Sayansi.

Matokeo haya yameifanya  Wilaya ya Siha kuzidi kung’ara katika Nyanja ya elimu huku ikiziacha Wilaya kongwe kuanzishwa hapa mkoa wa Kilimanjaro na hata   shule zenye majina makubwa  zilizoanzishwa tangu kipindi cha uhuru wa Tanzania.

Akiongea baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa mkuu wa shule hiyo mwalimu  Elieta Kaaya alisema kuwa, matokeo hayo mazuri wameyapokea kwa furaha kubwa, kwani yatazidi kuitangaza shule hiyo kujulikana na jamii ndani na nje ya Wilaya ya Siha.

Mkuu huyo wa shule alisema kuwa  kupatikana kwa matokeo mazuri shuleni hapo  kumetokana na juhudi kubwa za walimu na wanafunzi  pamoja na ushirikiano mzuri wa wazazi pamoja na uongozi  mathubuti wa Ofisi ya Mkuu wa  Wilaya ya Siha na Halmashauri ya Wilaya ya Siha  kwa ujumla wake.

Aidha,shule ya sekondari sanya Juu ni shule inayochukua wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne kutwa(mchanganyiko wavulana na wasichana) na wanafunzi wa kidato cha tano na sita mchepuo wa masomo ya sayansi(wavulana pekee). Shule hii inajumla ya wanafunzi 534 kidato cha kwanza hadi sita.

Shule ya sekondari Sanya Juu ni shule iliyoanzishwa mwaka 1999 na ni miongoni mwa shule 13 za Serikali zilizopo Wilaya ya Siha na miongoni mwa shule mbili za Serikali zinazochukua wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 wanasomo mchepuo wa masomo ya Sayansi,shule nyingine kwa mchepuo wa sayansi Wilayani Siha ni Nuru Sekondari.


kupata matokeo ya shule ya sanya juu  2018 bofya matokeo ya kidato cha sita 2018 shule ya sekondari sanya juu halmashauri ya Wilaya ya siha-kilimanjaro 


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.