• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Sheria ndogo Siha kuboresha Ukusanyaji Mapato

Posted on: March 5th, 2019

Sheria ndogo Siha kuboresha ukusanya wa Mapato

Hatimaye Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Mkutano Maalum wa  Baraza  la Waheshimiwa Madiwani limepitisha sheria ndogo mbalimbali za Halmashauri hiyo zitakazosaidia kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani.

Mkutano huo maalum wa Baraza la Madiwani Siha umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha tarehe 6/3/2019, ambapo wajumbe wa mkutano huo kwa kauli moja wameazimia na kupitisha sheria ndogo za Halmashauri ya Siha mwaka 2019 zitakazosaidia  kuongeza wigo wa ukusanyaji wa  mapato ya ndani ya  Halmashauri ya Siha.

Akiongea na wajumbe wa Mkutano huo,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Siha mhe. Godson Ngomuo aliwaeleza wajumbe kuwa sheria ndogo zilizopendekezwa na kuletwa mbele yetu zina lengo la kuongeza ukusanya wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma bora kwa Wananchi wa Siha.

“Napenda kuwaomba wajumbe wote wa mkutano huu tupitie  sheria ndogo zote mstari kwa mstari na kuboresha pale tunapoona panafaa kufanya maboresho na marekebisho  ili kuindoa Halmashauri yetu na tatizo la kuwa na vyanzo vichache vya mapato ya ndani” alisema Ngomuo.

Awali,Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Gabriel Sasi  aliwasilisha orodha ya mapendekezo ya sheria ndogo za Halmashauri ya Siha  zitakazosaidia kuongeza wigo wa mapato ya ndani mbele ya  wajumbe wa mkutano huo kuwa  ni pamoja na sheria ya  ushuru wa kukodi ardhi kwa ajili ya Kilimo,sheria ya Usafi na Mazingira, sheria ya Ada na Ushuru,sheria ya kuzuia unywaji wa pombe saa za kazi,sheria ya ushuru wa Stendi(vituo vya Mabasi).

Aliendelea kusema kuwa  sheria ndogo  nyingine zinazopendekezwa na Halmashuari ya Siha  ni kama vile  sheria ya ushuru wa huduma,ushuru wa madini ya ujenzi,sheria ya usimamizi na uendeshaji wa Masoko na Magulio na sheria ya Vijiji(sheria ya Serikali za mitaa mamlaka ya Wilaya.

Kupitishwa kwa sheria ndogo hizi kutasaidia Halmashauri ya Wilaya ya Siha kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani ambayo yataongeza uboreshaji wa utoaji wa huduma bora kwa jamii kama vile afya,elimu,maji,na huduma nyingine muhimu kwa wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha.

Mapendekezo ya sheria hizi ndogo za Halmashauri ya Siha yaliyopitishwa na Baraza la Madiwani tarehe 6/3/2019 zitaanza kutumika mara baada ya Waziri mwenye dhamana na Serikali ya Mitaa atapoweka saini yake  na kutangazwa katika gazeti la Serikali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.