• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Serikali yatoa Milioni 210 Maabara 7 za Sekondari Siha

Posted on: February 13th, 2021

Serikali yatoa Milioni 210 Maabara 7 za Sekondari Siha

Halmashauri ya Wilaya ya Siha mwezi Februari,2021 imepokea jumla ya shilingi milioni 210 kwa ajili ya kukamilisha miundombinu ya Maabara 7 ya shule za sekondari katika Wilaya ya Siha.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Ndaki Mhuli amesema kuwa, Halmashauri ya Wilaya ya Siha imepokea fedha shilingi  milioni 210 kutoka Serikali kuu kwa ajili ya kukamilisha miundombinu ya Maabara katika shule za sekondari

Amesema hayo alipokuwa  ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha Februari 12,2021 katika kikao cha kazi na Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na  Watendaji wa Vijiji na Kata zote zenye shule za sekondari zilizopata fedha za Maabara

Napenda kuwajulisha kuwa Serikali yetu ya Tanzania  imetupatia fedha kwa ajili ya kukamilisha miundombinu katika   shule 7 za sekondari katika Halmashauri yetu ambapo kila shule itapata kiasi cha shilingi  milioni 30

Ndugu Ndaki amezitaja shule za sekondari zilipata fedha za kukamilisha  miundimbinu ya Maabara kuwa ni shule ya Sekondari Dahani Kata ya Livishi,Fuka Sekondari Kata ya Kirua,Jitegemee Sekondari Kata ya Songu,Karansi Sekondari Kata ya Karansi

Amezitaja shule nyingine zilizopata fedha ni pamoja na Magadini Sekondari iliyopo kata ya Gararagua,Esinyari Sekondari kata ya Orkolili na Oshara Sekondari Kata ya Ivaeny.

Mkurugenzi Mtendaji ameitisha kikao kazi hicho kwa lengo la kujenga uelewa mpana kwa wasimamizi wa mradi huo hususani Wakuu wa Shule za Sekondari,Watendaji wa Vijiji na Kata pamoja na Maofisa Tarafa.

Katika kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji ametoa maagizo  kwa Wakuu wa shule za sekondari zilizopokea fedha kuhakikisha kuwa fedha za Serikali zinatumika vizuri kwa malengo yaliyopangwa na kuzingatia ubora wa kazi na wenye kutoa thamani halisi  ya fedha za Serikali

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU MWENGE WA UHURU WILAYA YA SIHA

    June 25, 2025
  • Miradi ya Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha 2015

    June 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha tarehe 3 Juni,2025

    June 24, 2025
  • Mazoezi ya Maandalizi ya Mwenge wa Uhuru SIHA

    June 20, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.