• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Serikali yakamilisha ujenzi wa Maabara Dahani Sekondari-Siha

Posted on: August 4th, 2022


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya  awamu ya Sita imeendelea kuboresha na  kukamilisha miundombinu ya shule hususani katika ujenzi wa maabara ya masomo ya sayansi kwa shule za Sekondari Wilayani Siha.

Sehemu ya ndani ya maabara iliyokamilika katika shule ya sekondari Dahani Kata ya Livishi Wilaya ya Siha

Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 Serikali ya Mhe. Samia Suluhu Hassan ilitoa kiasi cha fedha jumla ya shilingi milioni 150 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa lengo la kukamilisha miundombinu ya maabara katika shule tano za Sekondari ikiwemo shule ya Dahani.

Mojawapo ya maabara ya sayansi iliyokamilika katika shule ya sekondari Dahani Kata ya Livishi

Katika fedha hizo shule zilizopatiwa fedha  na Serikali ya Rais Samia jumla ya kiasi cha shilingi milioni 30 ni pamoja na Dahani,Kilingi,Jitegemee Siha,Karansi na Magadini ambapo fedha hizo zimetumika katika kukamilisha ujenzi wa maabara moja kila shule pamoja na uwekaji wa vifaa muhimu katika maabara hizo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA -KILIMANJARO June 30, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA SENSA, 2022 SIHA DC-KILIMANJARO July 27, 2022
  • TANGAZO MABADILIKO MAFUNZO YA SENSA 2022 SIHA DC-KILIMANJARO July 28, 2022
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani Siha kukutana tarehe 11 na 12 Agosti, 2022

    August 11, 2022
  • Baraza la Madiwani Siha kukutana tarehe 11 na 12 Agosti, 2022

    August 11, 2022
  • Ng'ombe wa kilo 900 kutoka Wilayani Siha

    August 08, 2022
  • Serikali yakamilisha ujenzi wa Maabara Dahani Sekondari-Siha

    August 04, 2022
  • Ona Zote

Video

SERIKALI YA RAIS SAMIA YAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO SIHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.