• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Serikali Wilaya ya Siha yapiga marufuku Biashara Mahindi ya Kuchoma

Posted on: June 14th, 2017

Uongozi wa Serikali katika Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro umepiga marufuku biashara ya mahindi ya kuchoma katika maeneo yote Wilayani hapa.

Azimio hilo limetolewa leo tarehe 14 Juni,2017 na Wenyeviti wa Vijiji Wilaya ya Siha walipokutana na Mkuu wa Wilaya ya Siha katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha kwa lengo la kuzungumzia mambo mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Siha.

Wenyeviti hao wa Vijiji kwa kauli moja walimwomba Katibu Tawala wa Wilaya ya Siha Mhe Nicodemus John ambaye alimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Siha kuwa,kutokana na wizi wa mahindi mabichi unaoendelea katika maeneo mbalimbali ya Siha wameona ni bora kumwomba Mkuu wa Wilaya kupiga marufuku biashara hiyo hadi mazao ya mahindi yatakapovunwa mashambani.

Katika Azimio hilo,sababu zilizotolewa na Viongozi hao za kutoa ombi kwa Mkuu wa Wilaya ya Siha kupiga marufuku biashara hiyo ni pamoja na kuzuia wizi wa mahindi mashambani na sababu nyingine ni jitihada za kuhakikisha chakula kitakachovunwa kinatumika vizuri kwa manufaa ya ustawi wa jamii.

Aidha katika kikao hicho,Mwenyekiti wa Kijiji cha Wiri Mheshimiwa Hamza Munisi aliishukuru Serikali ya Wilaya ya Siha kwa jinsi inavyosimamia kikamilifu sheria mbalimbali hasa za uhifadhi na utunzaji wa mazingira katika maeneo mbalimbali.

Mheshimiwa Hamza pia alishauri kuwa wale wote wanaofanya biashara ya mahindi ya kuchoma ni vema watafute biashara nyingine kwa wakati huu katazo hilo linapotolewa rasmi.

Alieleza kuwa katika Wilaya ya Siha ni desturi na imekuwa kama ni mazoea kuwa kila kipindi cha msimu wa mahindi yanapokomaa katazo la biashara ya mahindi hutolewa na Wananchi na wakazi wa Siha wanalitambua hilo,aliongeza Mheshimiwa Hamza.

Akichangia na kujibu hoja mbalimbali za Wenyeviti wa Vijiji katika Mkutano huo,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Siha Valerian Juwal aliwashukuru Wenyeviti wa Vijiji vyote Wilayani Siha kwa ushirikiano wanaendelea kuutoa kwa serikali kwa lengo la kuharakisha maendeleo ya Wananchi Wilayani Siha.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Siha aliwaahidi Wenyeviti hao kuwa,Halmashauri ya Siha itaendelea kufanya kazi kwa misingi ya kufuata Sheria zilizopo na kuwataka Watendaji wa umma kuhakikisha wanachapa kazi kwa uadilifu na kuwatumikia wananchi bila ubaguzi wowote.

Kutokana na Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Wilaya ya Siha inakadiriwa kuwa na jumla ya watu 116,313 kati yao Wanawake 59,813 na Wanaume 56,500

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.