• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

RENEAL INTERNATIONAL YAKABIDHI MAABARA ZA TEHAMA NNE SIHA

Posted on: July 24th, 2025

Shirika lisilo la kiserikali (NGO) la Reneal International Education Outreach limekabidhi maabara za TEHAMA katika shule nne (4) za Sekondari zenye Jumla ya kompyuta mpakato 80 na Server Moja katika kila maabara.

Shirika la Reneal International Education Outreach limekabidhi Maabara hizo za TEHAMA leo Julai 24, 2025 kwa lengo la kuziwezesha shule za sekondari kuwa na maktaba za mtandaoni (e-Library) zenye vitabu ya kiada na ziada, video za mafunzo ya masomo mbalimbali na mafunzo kwa vitendo (Simulation) kwa Masomo ya sayansi.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Siha wakati wa kupokea maabara hizo katika Shule ya Sekondari Namwai Katibu Tawala Wilaya ya Siha Bi. Jane Chalamila amelishukuru shirika la Reneal International Education Outreach kwa kufanikisha kupatikana kwa maabara za kisasa za TEHAMA katika Shule za Sekondari Oshara, Namwai, Sanya Juu na Nuru.

“Tulishukuru sana Shirika la Reneal International Education Outreach kupitia mratibu wake David Nyangaka kwa kufanikisha kupatikana maabara za kisasa kabisa za TEHAMA na tunakuahidi tutazitunza vizuri zaidi vifaa hivi ili zilete manufaa yaliyotarajiwa kwa walimu na wanafunzi” amesema Katibu Tawala Bi. Jane Chalamila.

“Nitoe rai kwa wanafunzi wa shule zilizopokea maabara hizi za TEHAMA kuzitumia kikamilifu kujifunza kwa bidii na ufanisi,  na mkikutana na wanafunzi katika maeneo ambayo hawana maabara hizi waelekezeni ili ziwe na manufaa kwa wote” ameongeza Chalamila.

Awali akizungumza kabla ya kukabidhi maabara hizo mratibu wa shirika la Reneal International Education Outreach David Nyangaka amesema baada kukabidhi maabara hizo shirika linatarajia kuongeza tija na ufanisi kwa walimu na wanafunzi na kuongeza ufaulu.

Tumekabidhi maabara nne za TEHAMA zenye jumla ya Kompyuta mpakato 20 na Server moja kila maabara yenye vitabu vyote vya kiada na ziara, mitihani ya kitaifa kuanzia mwaka 1988 hadi 2024, mafunzo kwa vitendo (Simulation) kwa Masomo ya sayansi ambazo zitazipunguzia shule gharama ya kununua kemikali kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo” amesema David Nyangaka. 

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Dkt Paschal Mbota amewasihi walimu na wanafunzi katika shule zilizopata maabara za TEHAMA kuvitunza na kuvitumia kikamilifu vifaa vilivyopo katika maabara hizo ili zilete tija.

Naye,Kaimu Afisa Elimu Mkoa wa Kilimanjaro Evance Panja amesema Serikali iatendelea kushirikiana na shirika la Reneal International Education Outreach ili kuwezesha shule nyingine za Sekondari Wilaya ya Siha na Mkoa wa Kilimanjaro  kupata maabara hizo za kisasa za TEHAMA.

Mpaka sasa shirika lisilo la kiserikali la Reneal International Education Outreach limefanikiwa kufunga kompyuta mpakato pamoja na server zake 210 katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo Wilaya ya Siha imepata Kompyuta mpakato 80.

Viongozi wa Serikali na Shirika la Reneal International Eduacational Outreach walioshiriki katika makabidhiano ya maabara nne zenye kompyuta mpakato 20 na Server moja kila maabara katika shule ya Sekondari Namwai, oshara, Sanya Juu na Nuru


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA USALAMA SIHA YAPONGEZA UJENZI KITUO CHA AFYA LAWATE

    August 21, 2025
  • TUFUATE MISINGI YA UADILIFU NA UWAJIBIKAJI - DKT TIMBUKA

    August 19, 2025
  • Rais Samia aomboleza kifo cha Ndugai

    August 10, 2025
  • WAZIRI BASHUGWA AZINDUA KITUO KIPYA CHA POLISI WANANCHI SIHA

    August 06, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.