• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Rais Samia atoa ajira mpya 102 watumishi wa Umma Siha 2021/2022

Posted on: August 16th, 2022

Rais Samia atoa ajira mpya 102 Halmashauri ya Siha 2021/2022

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa ajira 102 za watumishi wa umma katika kada mbalimbali katika Halmashauri ya  Wilaya ya Siha  katika mwaka wa fedha 2021/2022.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Pendo Mangali amesema hayo leo tarehe 16/08/2022 wakati akisoma taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Siha katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Taarifa hiyo ya Mkurugenzi Mtendaji imeeleza kuwa kati ya watumishi 102 wapya walioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya  Siha mwaka  2021/2022, watumishi 47 ni sekta ya afya, 37 ni sekta ya elimu,10 watendaji wa Vijiji, watumishi 04 ni madereva na 04 ni Makatibu Muhtasi.

Aidha,Taarifa hiyo imesema kuwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa  mwaka wa fedha 2021/2022  watumishi 627 wa  kada mbalimbali wamepandishwa vyeo na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katika kipindi cha 2021/2022 pia wapo watumishi 303 wamelipwa malimbikizo ya mishahara ambapo jumla ya shilingi Milioni 555.56 zimetolewa na Rais Samia katika kulipa madeni ya watumishi alisema na kuongeza Mangali.

Napenda kuwajulisha kuwa watumishi wa umma kwa sasa wamejawa na furaha kubwa kwani stahiki zao mbalimbali zimelipwa ikiwemo madeni ya mishahara na isiyo ya mishahara na zaidi ni nyongeza ya mishahara ya asilimia 23.3 iliyotolewa kuanzia mwezi Julai 2022 amesema Mangali.

Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha amesema kuwa Watumishi wa Umma katika Halmashauri ya Siha wameahidi kufanya kazi kwa bidii na maarifa katika kufanikisha malengo ya Rais Samia ya kuboresha maisha ya Watanzania

Halmashauri ya Wilaya ya Siha inajumla ya watumishi wa umma 1,133 wanaofanya kazi katika sekta mbalimbali katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.