• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mwenye Halmashauri ya Siha awapongeza watumishi kwa kufanya kazi kazi kwa ushirikiano na weledi

Posted on: June 24th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mhe Duncan Urassa amewapongeza watumishi wa umma Wilaya ya Siha kwa ushirikiano na umoja walionao wakati wote wanapowahudumia wananchi na kutekeleza majukumu yao ya kila siku.

Pongezi hizo amezitoa leo Juni 24, 2024 aliposhiriki zoezi la kufanya usafi katika kituo cha mabasi Sanya Juu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoanza Juni 16 – 23, 2024, ambapo amesema mwaka 2024 watumishi wamefanya kazi kubwa na kwa ushirikiano.

Amesema wakati wanahitimisha wiki ya maadhimisho ya utumishi wa umma kwa mwaka 2024, ni vyema wakajikumbusha waliyofanya na kuboresha penye upungufu ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha.

Amewahimiza watumishi kuendeleza ushirikiano, kufanya kazi kwa bidii, weledi na kwa kufuata sheria, kanuni na miongozo ya serikali na maadili ya Utumishi wa umma.

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma kwa mwaka 2024 yanaongozwa na kaulimbiu inayosema, Kuwezesha kwa Utumishi wa Umma Uliojikita kwa Umma wa Afrika ya Karne ya 21 Iliyojumuishi na Inayostawi: Ni Safari ya Mafunzo na Mabadiliko ya Teknolojia.

Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka kuanzia Juni 16 – 23 na ni mojawapo ya matukio katika kalenda ya umoja wa Afrika (AU) ambapo nchi wanachama huadhimisha kwa kufanya kongamano na maonesho ya kazi mbalimbali kuhusu Utumishi wa Umma.

Viongozi na Watumishi wa Umma Wilaya ya Siha wakishiriki zoezi la usafi wa mazingira katika kituo cha mabasi Sanya Juu leo Juni 24, 2024 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.