• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

WANANCHI SIHA WATAKIWA KUJITOKEZA KUPOKEA MWENGE WA UHURU -DC SIHA

Posted on: June 8th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Onesmo Buswelu amewaomba wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha kujitokeza kwa wingi siku ya Alhamis tarehe 10/06/2021 kwa lengo la kuupokea na kuulaki Mwenge wa Uhuru utakapofika Wilaya ya Siha.

Kauli hiyo ameitoa leo tarehe 8.06.2021 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Siha alipokuwa na kikao cha maandalizi ya kupokea mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Siha.

Amesema kuwa Mwenge utapokelewa katika Kijiji cha Lawate muda wa saa 12.30 asubuhi ambapo ametoa wito kwa wananchi wote wa Wilaya ya Siha kuwepo katika eneo la mapokezi ili kuonyesha umoja wetu na uzalendo wetu katika Taifa letu.

Ameeleza kuwa Mwenge wa Uhuru ukishapokelewa katika Kijiji cha Lawate utatembelea na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Siha  kama ifuatavyo

  • Kutembelea ujenzi wa Maabara ya Kisasa katika Hospital ya Taifa ya Kifua Kikuu Kibongoto

  • Kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa kituo cha Kisasa cha Polisi Sanya Juu

  • Kutembelea mradi wa maji Magadini Makiwaru(Gararagua branch line) uliopo Kata ya Gararagua


  • Kutembelea shamba la Macademia nuts kijiji cha Namuai


  • Kutembelea mradi wa vijana wa kilimo cha chakula cha mifugo  katika Kijiji cha Mwangaza


  • Kuzindua madarasa 4,maktaba moja na ofisi mbili za walimu Namwai Sekondari 

  • Kutembelea mradi wa watu wenye ulemavu kijiji cha Wiri Kata ya Gararagua

  • Kuzindua daraja la mto Biriri (Muwara)

  • Daraja la mto Biriri-Muwara

  • Kuzindua mradi wa maji katika Vijiji vya Sinai na Ormelili

Aidha,Mkuu wa Wilaya ya Siha ametoa wito kwa wananchi na wakazi wa Wilaya ya Siha kujitokeza kwa wingi katika maeneo yote Mwenge wa Uhuru utakapotembelea ,kuzindua na hata barabara Mwenge utakapopita  na amesisitiza wazazi kuchukua tahadhari ya kutoacha mifugo barabarani pamoja na kuwalinda watoto wadogo.

Pia amewataka Wananchi na Wakazi wa Wilaya ya Siha kujitokeza kwa wingi katika eneo la Mkesha katika kituo cha Mabasi cha Wilaya ya Siha ORMELILI -KIA na kuwataka wananchi kwenda kukabidhi Mwenge eneo la Mererani mkoa wa Manyara siku ya ijumaa  tarehe 11/06/2021 mapema asubuhi.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.