• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI SIHA ATOA MAELEKEZO YA UCHAGUZI

Posted on: September 26th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Siha Dkt Haji Mnasi ametoa maelekezo kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Dkt Mnasi ametoa maelekezo hayo leo tarehe 26 Septemba, 2024 katika ukumbi wa kanisa katoliki uliopo katika Kata ya Sanya Juu ambapo maelekezo hayo yameelezea masuala muhimu ya uchaguzi.

Amesema tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi ambayo ni 27 Novemba, 2024 na Uandikishaji wa wapiga kura utafanyika kwa muda wa siku kumi kuanzia tarehe 11 Oktoba, 2024 hadi tarehe 20 Oktoba 2024.

Dkt Mnasi pia amesema uandikishaji wa wapiga kura utafanyika kwenye majengo ya umma na pale ambapo hakuna jengo la umma, uandikishaji utafanyika sehemu ambayo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atakuwa amekubaliana na viongozi wa vyama vya siasa.

"Fomu za kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi zitatolewa kuanzia tarehe 01 Novemba hadi tarehe 7 Novemba 2024, kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa kumi kamili jioni" amesema Dkt Haji Mnasi Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Siha.

Viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Ktongoji.

Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa utaongozwa na kauli mbiu isemayo, "Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi."

Matangazo

  • JARIDA MTANDAO TOLEO LA 26 August 29, 2025
  • TANGAZO UTOAJI WA CHANJO HOMA YA MAPAFU NA UTAMBUZI WA NG'OMBE KWA HERENI WILAYA YA SIHA September 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • BAJETI YA HALMASHAURI MWAKA 2020/2021 September 20, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Balozi wa Marekani Nchini Tanzania atembelea Hospitali ya Kibong'oto

    September 10, 2025
  • Mitihani mwema Darasa la Saba Wilaya ya Siha 2025

    September 10, 2025
  • Kila la kheri Darasa la Saba 2025

    September 10, 2025
  • Kijiji cha Munge na mafanikio ya Shule mpya ya Msingi

    September 09, 2025
  • Ona Zote

Video

MOTO WA SIHADC MICHEZO SHIMISEMITA 2025
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.