• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

MRADI WA BOOST KUBORESHA ELIMU

Posted on: December 20th, 2022

Utekelezaji Mradi wa Boost

mradi wa BOOST ni mradi wa kuimarisha na kuboresha elimu ya awali na Msingi hapa Nchini.

Neno Boost màana yake ni kubusti/au kuchochea/kuongeza ufanisi wa jambo fulani lipate matokeo chanya.


Neno hili halina kirefu chake Bali màana yake ni kuongeza ufanisi wa jambo ili kupata matokeo mazuri.

Mradi wa boost unatekelezwa hapa Nchini Kwa kipondi Cha miaka 5 kuanzia sasa Hadi mwaka 2025/2026 na kunufaisha halmashauri zote 184 hapa Tanzania hususani katika kuboresha miundombinu ya elimu Kwa Madarasa ya awali na Msingi.

Aidha,mradi huu unatekelezwa Kwa mfumo wa lipa kutokana na matokeo yanayopatikana na Halmashauri ambazo zitatimiza vigezo Kwa kiwango kikubwa ndizo zitanufaika zaidi Kwa kupatiwa fedha nyingi za kuboresha miundombinu pamoja na ununuzi wa vifaa na vitendea kazi Kwa elimu ya awali na Msingi.

Tambua Malengo ya Mradi wa Boost 

1.Kuboresha miundombinu Kwa Madarasa ya awali na Msingi kote Nchini


2.Kuongeza uandikishaji wa Watoto wa elimu ya awali kutoka asilimia 76.9 ya sasa Hadi asilimia 85 mwaka 2025/2026

3.Kuimarisha mapito ya wanafunzi wa awali na Msingi Kwa kuweka mpango wa shule salama

4.Kuimarisha na kuboresha mpango waafunzo endelevu kazini Kwa Walimu wa Madarasa ya awali na Msingi Mashuleni

5.Kuboresha mpango wa ununuzi wa vifaa vya kisasa vya Tehama mashuleni hususani katika vituo teule vitakavyoanishwa katika Kila Halmashauri ili kuwajengea uwezo Walimu wa shule za Msingi kujua namna Bora ya upatikanaji wa Masomo rejea kwa gharama nafuu ya kutumia mitandao ya Kisasa


NB  Mradi wa Boost unatekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusimamiwa na Ofisi ya Rais Tamisemi pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi na Tekinolojia.

#KAZI IENDELEE NA AWAMU YA SITA



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.