• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mkuu wa Wilaya ya Siha akagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero za Wananchi

Posted on: October 26th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson afanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi katika Kata mbalimbali Wilayani Siha. ziara hiyo imeanza katika Kata ya Ormelili ambapo tarehe 25 oktoba alikagua eneo itakapojengwa shule ya kata ya Ormelili katika Kijiji cha Ormelili.

Wananchi wa Kata ya Ormelili wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Siha mapema 25 oktoba 2021

Katika eneo hilo wananchi wa Kata hiyo tayari wameshakusanya mawe zaidi ya lori 15 na kazi ya kuchimba msingi imeshaanza. akiwa katika eneo la ujenzi Mhe. Thomas Apson aliwapongeza wananchi wa Kata hiyo kwa ushirikiano mzuri wa kuchangia shughuli za maendeleo.

Haya ni mawe yaliyokusanywa kwa michango ya wananchi ujenzi wa Sekondari kata ya Ormelili

Aliwaeleza Wananchi  wa Kata hiyo kuwa Serikali ya awamu ya sita ipo pamoja nao na itashirikiana nao kuhakikisha kuwa kazi ya ujenzi wa shule hiyo inakamilika kwa kuzingatia viwango na ubora wa majengo ya Serikali 

Mkuu wa Wilaya ya Siha akipata maelezo katika eneo la ujenzi wa Sekondari mpya kata ya Ormelili

Wananchi wa Kata ya Ormelili wameamua kujenga shule ya Sekondari ya Kata ili kuwapunguzia watoto wao umbali mrefu wanaotembea kwenda kata za jirani kwa ajili ya kufuata shule za sekondari.

Mhandisi wa Ujenzi Ndugu Kiure akitoa maelezo kwa mkuu wa Wilaya ya Siha 

Akimkaribisha Mkuu wa Wilaya katika eneo la ujenzi,Diwani wa Kata hiyo mhe. Noel Mollel ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Siha alimshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kufanya ziara ya kukagua miradi katika kata hiyo


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.