• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

MKUU WA WILAYA AWAELEKEZA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUFUATA KANUNI, TARATIBU

Posted on: November 16th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amewaelekeza viongozi wa vyama vya ushirika Wilaya ya Siha kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo inayowaongoza ikiwemo kuwasomea taarifa ya mapato na matumizi wanachama.

Mhe. Dkt Timbuka ametoa maelekezo hayo leo Novemba 16, 2023 kwenye kikao kazi na viongozi wa vyama vya ushirika Wilaya ya Siha kilichofanyika kwenye ukumbi mkubwa wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha chenye lengo la kujadili changamoto, mafanikio na mikakati ya kuboresha vyama vya ushirika Wilaya ya Siha.

Amesema viongozi wa vyama vya ushirika wakifanya kazi yao kwa kuzingatia sheria kanuni taratibu na miongozo ikiwa ni pamoja na kuwasomea taarifa ya mapato na matumizi ya vyama kwa uwazi, kufanya vikao vilivyopo kikanuni na kuwashirikisha katika maamuzi yanayohusu mali za chama kutasaidia kwa kiasi kikubwa kumaliza migogoro baina ya wanachama na viongozi.

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka akizungumza kwenye kikao kazi na viongozi wa vyama vya ushirika Wilaya ya Siha lri Novemba 16, 2023.

Pia Mhe Dkt Timbuka amesema malalamiko au kero au taswira mbovu kuhusu vyama vya ushirika ni viongozi kuboresha utendaji kazi wao kwa kuzingatia kanuni, taratibu na miongozo ya vyama.

"Watakaosaidia kuondoa malalamiko na taswira mbovu kuhusu vyama vya ushirika ni nyinyi viongozi kuwa wawazi kwenye utendaji kazi, kufuata kanuni, taratibu na miongozo, kufanya vikao vilivyopo kikanuni na  kuondoa maslahi binafsi kwenye vyama" amesema Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Timbuka.

"Viongozi mkiyafanya hayo wanachama watarithika, wakiona mali zao zipo salama, kazi zao zinafanyika vizuri na rasilimali zao ziko salama hawatakuwa na jambo lolote la kuhofia uongozi wenu" ameongeza Mhe. Dkt Timbuka

Kikao kazi hicho cha viongozi wa vyama vya ushirika Wilaya ya Siha ni muendelezo wa vikao ambavyo Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amekuwa akifanya kwa lengo la kusikiliza kero na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utolewaji wa huduma kwa Wananchi wa Wilaya ya Siha.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.