• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mikakati ya uboreshaji Elimu Wilaya ya Siha

Posted on: March 10th, 2023

WILAYA YA SIHA YAWEKA MKAKATI WA KUBORESHA ELIMU MWAKA 2023.


 Maofisa Elimu Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Leo Ijumaa tarehe 10 Machi,2023 wamefanya kikao Cha Kawaida Cha Tathmini ya ufuatiliaji wa utoaji elimu Kwa shule za Msingi na Sekondari Kwa kipindi Cha mwezi Januari 2023 na Februari 2023.

Kikao cha Tathmini ya uboreshaji wa Elimu katika Wilaya ya Siha kinafanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha chini ya Usimamizi wa Mkuu wa Divisheni ya Elimu Awali na Msingi pamoja na Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari.

Awali akifungua kikao  cha Tathmini Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Mwalimu Naomi Swai  alisema kuwa hichi ni kikao cha Kawaida Cha Kupitia Tathmini ya ufuatiliaji wa Elimu katika shule za Msingi na Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha.

"Kikao cha Leo agenda kubwa ni kupitia Tathmini ya utoaji elimu Wilaya ya Siha na kuona hali ya ufundishaji Kwa ujumla katika shule zetu za Msingi na Sekondari" alisema Mwalimu Naomi Swai

Alieleza  pia kikao kitapitia na kujua Hali ya uandikishaji wa darasa la kwanza na awali shule za Msingi pamoja na Wanafunzi wa  Kidato cha kwanza shule za Sekondari  mwaka 2023.


Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mwalimu Rose Sandi kwa upande wake aliongeza kuwa Tathmini iliyofanyika pia imeangalia maendeleo ya usimamizi wa Miradi hususani ujenzi wa miundombinu mbalimbali unaoendelea mashuleni.


Aliongeza kuwa pamoja na maendeleo ya taaluma mashuleni pia ufuatiliaji unaangalia utoaji wa Chakula kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na Hali ya mahusiano mema Kati ya Jamii na shule zilizopo katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Siha.


Mkuu wa Divisheni ya Elimu Awali na Msingi Mwalimu Rose Sandi pia  alitoa pongezi Kwa  Walimu na Viongozi wa Jamii kwa mafanikio ya zoezi la uandikishaji watoto wa awali na Msingi mwaka 2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha


Alisema kuwa jumla ya Watoto wa awali 4057 sawa na asilimia 108 wameandikishwa hadi kufikia mwisho wa  mwezi wa Februari 2023 Kati yao Wavulana ni 2093 na Wasichana ni 1964 na darasa la kwanza ni asilimia 107

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.