• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mfumo mpya wa utoaji mikopo asilimia 10 kuanza Julai,2024

Posted on: April 17th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa Halmashauri 10 hapa Nchini Tanzania zilizowekwa katika mpango wa majaribio utoaji mpya wa mikopo ya asilimia 10 ya vikundi vya Wanawake ,Vijana na Watu wenye ulemavu kuanzia mwezi Julia,2024.


Kauli hiyo imetolewa bungeni tarehe 16 Aprili 2024 na Mhe. Mohamed Mchengerwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI wakati akiwasilisha hotuba kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya TAMISEMI Kwa mwaka wa fedha 2024/2025.


Amesema kuwa, Serikali imeamua mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu iliyokuwa imesitishwa hapo awali imerejeshwa kwa majaribio kuanzia mwezi Julai 2024 katika Halmashauri 10 hapa Nchini kwa mfumo mpya wa usimamizi.


Waziri Mchengerwa amezitaja Halmashauri zote 10 zitakazokuwa za majaribio hapa Nchini ni Halmashauri ya Majiji ya Dar es salaam na Dodoma, Manispaa za Kigoma Ujiji na Songea, Halmashauri za miji ni Newala na Mbulu pamoja na Halmashauri za Wilaya ya SIHA, Nkasi, Itilima na Bumbuli.


Utaratibu ulioboreshwa unahusisha uanzishwaji wa Kitengo cha Usimamizi wa utoaji wa mikopo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu katika Ofisi ya Rais, TAMISEMI ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa Kamati ya usimamizi wa utoaji wa mikopo katika ngazi za Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Kata.


Mhe.Waziri Mchengerwa amesema kuwa, miongoni mwa majukumu ya Kamati ngazi ya Kata ni pamoja na kutambua waombaji, kuthibitisha vikundi vya mikopo na kuvisajili katika mfumo mpya unaitwa Wezesha Portal na baada ya usajili Kamati itawasilisha ngazi ya Wilaya kwa hatua zaidi.


Uboreshaji wa mfumo huu mpya wa utoaji wa mikopo kwa Vikundi vya Vijana,Wanawake na Watu wenye ulemavu utaondoa changamoto mbalimbali zilizokuwa hapo awali kabla ya zoezi la utoaji wa mikopo kusimamishwa mwezi Aprili,2023.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.