• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mambo 10 muhimu ya kuzingatia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Posted on: October 20th, 2024

MAMBO 10 MUHIMU  KWA WANANCH NA VIONGOZI KUELEKEA  UCHAGUZI  SERIKALI ZA MITAA


Kipindi cha uchaguzi wa serikali  za mitaa au uchaguzi mkuu ni muhimu Sana katika  Nchi yoyote na ndio dira ya kupata taswira ya taifa katika  kuchagua viongozi  bora kutokana na jinsi walivyojinadi katika kipindi cha kampeni, dira,mipango mikakati  na huduma kwa jamii. Matokeo ya uchaguzi ni kupata serikali imara kutoka kwenye chama kilichoshinda na kukubalika na Wananchi,  kutokana na Sera, maendeleo ya miradi, na siasa Safi zenye kueleza na kuenzi ulinzi,Amani wa mshikamano wa Taifa letu historia  ya Taifa letu na huduma kwa jamii.

Ni vizuri  wananchi wajue kuwa kupiga kura ni haki Yao muhimu ili kupata maendeleo na taifa lenye ustawi wa Amani bila vita na taifa lenye maendeleo.


Wagombea wanatakiwa kujua kuwa wananchi ni muhimu  kuliko cheo, na huo ni uzalendo  hivyo  kuheshimu sheria kanuni zilizowekea na tume ya uchaguzi.


Kupiga kampeni nzuri na za uzalendo na sio fitina kusengenya kwani wananchi wanataka Sera nzuri Tena kwa lugha nzuri ya unyenyekevu na sio kutukana.


Kwenda na ratiba na matukio.Ni vizuri kuangalia ratiba iliyotoka tume mfano kujiandikisha,kampeni na mambo mengine.


Kupiga kura na kuchagua viongozi na kukaa kwenye foleni kwa utulivu mkubwa.Kupiga kura ni haki yako piga kura yako na chagua kiongozi mzalendo.


Kukubali kushindwa na kuruhusu maisha yasonge mbele kwani Kuna maisha baada ya uchaguzi na kutoruhusu virugu kwani Nchi yetu na rasilimali na wananchi ni muhimu kuliko wewe.


Kutokuwa na uadui Kati ya wagombea wa vyama mbalimbali. Kwa kuwa sisi ni Watanzania  hakuna sababu ya kuwekeana uadui,  au kinyongo kwa kuwa umeshindwa,kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani wa kweli.


Epuka virugu na wew kuwa mwana Amani halisi na kamwe mwananchi usikubali kurubuniwa ili kuleta vurugu kwani ulinzi na usalama utakuwa mkubwa.


Hepuka kuvuruga kampeni ya chama cha mwenzako au kufanya eneo moja fuata ratiba ya kampeni  na eneo la kampeni.


Shirikiana na kiongozi mwenzako aliyechaguliwa na wananchi ili kuleta maendeleo kwa pamoja.


Nb.Leo ni siku ya mwisho kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura nenda kajiandikishe upate kibali cha kuchagua viongozi  imara na kupata maendeleo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.