• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Makadirio ya Bajeti Siha DC 2023.2024

Posted on: February 1st, 2023

BARAZA LA MADIWANI SIHA LAPITISHA MPANGO NA MAKISIO YA BAJETI YENYE  SHILINGI BILIONI 22.5 MWAKA  WA FEDHA 2023/2024


Baraza la Wah.Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya   Siha Mkoa wa Kilimanjaro leo jumatano tarehe 01 Februari,2023 limepitisha mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha yenye Thamani ya shilingi Bilioni 22.5

Mkutano huo Maalum  wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha umekutana kwa muda wa siku mbili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Siha na kupitia mapitio ya Bajeti iliyopita pamoja na kujadili na kupitisha mpango na Makisio ya   Bajeti kwa  mwaka wa fedha 2023/2024.

 Akiwasilisha  Mpango na Makisio ya  Bajeti kwa Baraza la Madiwani Afisa Mipango na Uratibu wa Halmashauri ya Siha ndugu Constantine Mtiti kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji alisema kuwa Bajeti ya Halmashauri ya Siha Kwa mwaka 2023/2024 ni jumla ya shilingi Bilioni 22.5.

Alieleza kuwa mchanganuo wa Makisio na mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri ni kama ifuatavyo-:

Fedha za  ruzuku kutoka Serikali kuu ni shilingi Bilioni 16.827,Fedha za ruzuku kutoka Washirika wa Maendeleo ni shilingi Bilioni 3.506 na *Fedha za makusanyo ya Ndani ya Halmashauri ni shilingi Bilioni 2.167

Aidha,katika Mpango wa Bajeti uliopitishwa na Mkutano Maalum wa  Baraza la Wah.Madiwani vipaumbele vya Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha kwa mwaka wa fedha 2023/2024 vimelenga katika masuala yafuatayo

i)Kuimarisha ukusanyaji wa Mapato ya ndani ya Halmashauri

ii)Kuboresha Mazingira ya  kufundisha na kujifunzia katika shule za Msingi na Sekondari

iii)Kuboresha huduma za Afya ya Msingi kwa ununuzi wa dawa na vifaa tiba

iv)Kuboresha uzalishaji na tija kwa mazao ya Kilimo na Mifugo

Afisa Mipango na Uratibu alieleza kuwa katika  mpango na Mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri ya Siha kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Makisio ya makusanyo ya Ndani  yameongezeka kwa asilimia 10 kutoka Bajeti ya mwaka 2022/2023 iliyokuwa shilingi Bilioni 1.974.


✅Halmashauri ya Siha- Kilimanjaro

✅KAZI IENDELEE 2023/2024

Matangazo

  • MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI YA SIHA ILIYOIDHINISHWA MWAKA 2022/2023 August 18, 2022
  • TANGAZO MKUTANO MAALUM BARAZA LA MADIWANI SIHA TAREHE 17.2.2023 February 16, 2023
  • TANGAZO MARUFUKU KULIMA MAENEO YA VIWANJA HALMASHAURI YA SIHA March 02, 2023
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Maofisa Habari wa Serikali Watakiwa kuwajulisha Wananchi miradi inayotekelezwa na Serikali

    March 27, 2023
  • Mafanikio ya Rais Samia miaka 2 sekta ya elimu Siha DC

    March 23, 2023
  • Elimu ya Lishe Kata ya Sanya Juu

    March 19, 2023
  • Elimu ya Lishe Kata ya Sanya Juu

    March 19, 2023
  • Ona Zote

Video

WANANCHI WILAYANI SIHA WASHAURIWA KUOTESHA MITI
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.