• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Majengo 6 yaanza kujengwa Hospital ya Siha-Kilimanjaro

Posted on: January 14th, 2019

Majengo 6 yaanza kujengwa Hospital ya Wilaya ya Siha 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro imeanza kazi ya kujenga majengo 6 katika Hospital ya Wilaya ya Siha kwa lengo la kuboresha miundombinu ya Hospital hiyo.

Hayo yamesemwa na Ndugu Valerian Juwal Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya  Wilaya ya Siha hivi karibuni alipokuwa anakagua shughuli za ujenzi zinazoendea katika Hospital ya Wilaya ya Siha

Alieleza kuwa kazi za ujenzi imeanza tarehe 10/01/2019 ikiwa ni pamoja na kazi za kusafisha maeneo mbalimbali yanapojengwa jumla ya majengo mapya 6 kwa gharama za shilingi Bil.1.5 fedha zilizotolewa na  Serikali ya Tanzania.

 Jengo linatumika katika huduma na Utawala kwa sasa ktk hospital ya Wilaya ya Siha

Majengo hayo 6 yatakayojengwa ni pamoja na 1.Jengo la Utawala,(2)Wodi ya Kinamama, (3)Jengo la X-Ray,(4)Jengo la Dawa(pharmas), (5)Jengo la kufulia nguo za wagonjwa na (6) jengo la Mouchwari alisema Juwal.

Jumla ya kamati 5 za usimamizi zimeshaundwa na zipo kazini kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kazi ya ujenzi inafanyika katika viwango na ubora uliowekwa na Serikali  kulingana na  dhamani ya pesa alisema na kuongeza Juwal.

Ndugu Juwal alisema kuwa kazi ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi wa Juni,2019 ili shughuli za uboreshaji wa  utoaji wa huduma bora  kwa jamii na wananchi wa Siha ziweze kuendelea kutolewa katika Hospital ya Wilaya ya Siha.

moja ya maabara ya Kisasa iliyopo katika hospital ya Wilaya ya Siha

Kukamilika kwa ujenzi wa miundombinu katika hospital ya Wilaya ya Siha kutasaidia kuboresha huduma za afya na kuwanufaisha jumla ya wananchi  zaidi ya 120,000 waliopo katika Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.