• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mafunzo ya kuimarisha Lishe kwa jamii yatolewa

Posted on: August 16th, 2023

MAFUNZO YA UZALISHAJI WA MAHARAGE LISHE YAZINDULIWA NA MKUU WA WILAYA YA SIHA.

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amesema Jumla ya Kilo Mia Tisa za Mbegu Daraja la Uthibitisho (certified seed) zimegawiwa katika vikundi 17 kutoka katika Kata zote 17 za Wilaya ya Siha na jumla ya kilo 4500 zimevunwa na kusambazwa kwa wakulima ili kuzalisha Nafaka.


Mhe. Dkt Timbuka amesema hayo leo Agosti 16, 2023 katika Ufunguzi wa Mafunzo kwa Walimu Wakuu na Wakuu wa Shule, Maafisa Elimu Kata, Maafisa Kilimo wa Kata na Afisa Elimu Msingi na Sekondari yaliyotolewa na Serikali kwa kushirikiana na Taasisi isiyokuwa ya Serikali ya Global Alliance for Improved Nutrition (Gain) katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha.


Amesema Jumla ya Kilo 1200 za Maharage Lishe zimevunwa katika Wilaya ya Siha baada ya kuwasambazia wakulima mbegu zilizothibitishwa na wakulima kujipatia chakula na kipato.


Dkt. Timbuka amewataka Maafisa Kilimo na Lishe ngazi ya Wilaya,Kata na Vijiji kuendelea kusisitiza matumizi ya mazao yenye virutubisho ili kutimiza lengo la Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan la kujenga Taifa lenye afya bora.


Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi amesema  ataendelea kusimamia utekelezaji wa mikataba ya lishe na maelekezo ya Serikali ili kuondokana na changamoto za kiafya zinazotokana na ukosefu wa lishe bora.


Baada ya uzinduzi wa mafunzo hayo Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt Christopher Timbuka amekabidhiwa mbegu za Maharage zenye virutubisho na Taasisi isiyokuwa ya Serikali ya Global Alliance for Improved Nutrition (Gain) na kuzikabidhi kwa Mwenyekiti  wa Halmashauri na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha.


@gainalliance @dr_mollel @dr.dctimbuka @dr_mnasi @wizara_ya_kilimo @wizara_elimutanzania @wizara_afyatz @maelezonews @ikulu_mawasiliano @bashehussein @anthonymavunde @ummymwalimu @gersonmsigwa

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.