• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

MADIWANI WILAYA YA SIHA KUFANYA ZIARA YA KUJIFUNZA MKOANI DODOMA

Posted on: January 16th, 2023

Baraza la Wah. Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro kufanya ziara ya kujifunza katika chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Mkoa wa Dodoma.

Mafunzo hayo ya Wah Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha yanatarajia kufanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 18/01/2023 na tarehe 19/01/2023 ambapo jumla ya  Wah. Madiwani 23 wanatarajia kushiriki mafunzo hayo muhimu.

Mafunzo haya yanalengo la kuwajengea uwezo Wah.Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro katika masuala matatu muhimu:-

  • Elimu ya usimamizi na Udhibiti wa fedha katika Serikali za Mitaa

  • Elimu kuhusu Usimamizi wa Miradi ya maendeleo katika Serikali za Mitaa

  • Haki na wajibu wa Wah. Madiwani katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku

Ziara hii ya mafunzo kwa wah. Madiwani inatarajia kuleta manufaa makubwa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Siha husuani katika kuongeza usimamizi bora wa miradi ya maendeleo pamoja na udhibiti wa mapato ya ndani yanayokusanywa na halmashauri ya  Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro.

Matangazo

  • MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI YA SIHA ILIYOIDHINISHWA MWAKA 2022/2023 August 18, 2022
  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA SHILINGI MIL.480 UJENZI WA MADARASA MAPYA SIHA DC KILIMANJARO October 13, 2022
  • TANGAZO MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI BAJETI MWAKA 2023.2024 January 27, 2023
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Mkuu mpya wa Wilaya ya Siha aapishwa na kuanza kazi rasmi

    February 01, 2023
  • Makadirio ya Bajeti Siha DC 2023.2024

    February 01, 2023
  • Mkutano Maalum Baraza la Madiwani Siha 31 Januari,2023

    January 31, 2023
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE MWAKA 2022 SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA SIHA

    January 29, 2023
  • Ona Zote

Video

MADIWANI HALMASHAURI YA SIHA WAPATA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA FEDHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.