• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Karibu Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha tarehe 12 Juni,2022

Posted on: June 10th, 2022

Mwenge wa Uhuru utapokelewa Wilayani Siha katika Kijiji cha Lawate Kata ya Kirua tarehe 12.6.2022 muda wa saa 12 kamili asubuhi  ukitokea Wilaya ya Hai

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson akiwa katika maandalizi kabambe ya kuupokea mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha tarehe 12 Juni,2022.

Amesema kuwa maandalizi ya kupokea mwenge wa Uhuru  katika Wilaya ya Siha  yanaendelea vizuri na yapo katika hatua za mwisho mwisho na Wananchi wa Wilaya ya Siha wanausubiri Mwenge wa Uhuru utakapofika waupokee na kuulaki kwa shangwe na nderemo.

Napenda kuwafahamisha kuwa Mwenge wa Uhuru utakapokuwa katika Wilaya ya Siha utakwenda katika maeneo yafuatayo; utapokelewa Kiwilaya  katika kijiji cha Lawate .siku ya Jumapili saa 12 asubuhi na baadaye utatembelea mradi wa vijana wa mafundi ya kuchomelea vyuma na samani katika Kata ya Sanya Juu alisema mhe.Thomas Apson.

Aidha,ameeleza kuwa Mwenge utaweka jiwe la Msingi Zahanati ya Mwangaza Kata ya Ngarenairobi pamoja na kutembelea mradi wa kitalu cha miti shamba la miti West Kilimanjaro uliopo katika kata hiyo.

Amesema baada ya hapo Mwenge utaweka jiwe la Msingi katika ujenzi wa barabara mpya ya Lami Kata ya Gararagua na kutembelea klabu ya kupambana na rushwa katika shule ya Sekondari Magadini, ameongeza kuwa Mwenge pia utafanya ufunguzi ujenzi wa shule shikizi ya Msingi Neema na kuweka jiwe la msingi kituo cha afya Olkolili kabla ya kuwa na mkesha katika stendi ya Mabasi KIA.

Mkuu wa Wilaya ya Siha ametoa wito kwa Wananchi na Wakazi wa Wilaya ya Siha kujitokeza kwa wingi katika mbio za Mwenge Wilaya ya Siha kwa mwaka 2022 kuanzia eneo la mapokezi,kwenye miradi hadi mkesha wa mwenge na baadaye kuukabidhi katika mkoa wa Manyara siku ya jumatatu tarehe 13.6.2022 


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.