• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Kampeni Upimaji afya kwa hiari yazinduliwa Kiwilaya

Posted on: September 26th, 2018


Kampeni ya Pima ,jitambue , na Ishi yazinduliwa Wilayani Siha

Hatimaye Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 26.09.2018 imezindua kampeni ya kupima afya inayojulikana kwa jina la  “FURAHA YANGU”.

Kampeni hiyo imezinduliwa Kiwilaya  na Katibu Tawala Wilaya ya Siha mhe. Joseph Mabiti ambaye alimwakilisha mkuu wa Wilaya ya Siha.

Uzinduzi huo umefanyika leo  kijiji cha Sanya Juu katika eneo la jengo jipya la soko la Sanya Juu lililopo Kata ya Sanya Juu Tarafa ya Siha kati.

Akiwa katika shughuli ya uzinduzi katibu Tawala wa Wilaya ya Siha ndugu Joseph Mabiti aliwataka wananchi na wakazi wa Wilaya ya  Siha kujitokeza kwa wingi kupima afya zao ambapo alieleza kuwa  huduma hiyo itatolewa bure  bila malipo yoyote.

Alieleza kuwa takwimu zinaonyesha kuwa wanaume wengi bado hawajahamasika kupima afya kwa hiari na hivyo kukwamisha jitihada za Serikali kujua hali ya afya za wananchi wake ambayo inasaidia Serikali  katika upangaji wa bajeti za wizara ya  afya.

“Napenda kutoa wito kwa wataalam wa sekta ya afya kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kupima afya zao kwa manufaa ya mtu mmoja mmoja na hatimaye taifa kwa ujumla wake” alisema Mabiti.

Baadhi ya wananchi wakishiriki katika zoezi la upimaji afya lililofanyika leo tarehe 26.09.2018 katika kijiji cha Sanya Juu.

Akiongea na wananchi na watumishi wa Umma walioshiriki katika kampeni ya uzinduzi wa zoezi la upimaji wa afya bure kwa wananchi mhe. Joseph Mabiti alisema kuwa, kauli mbiu ya kampeni ya upimaji wa afya mwaka 2018 ni “PIMA, JITAMBUE , ISHI”.

Katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni hiyo ya upimaji iliyozinduliwa kata ya Sanya Juu,watu 244 wamejitokeza na kupima afya zao na kupatiwa ushauri na wataalam wa afya.

Zoezi la upimaji afya litaendelea Wilaya ya Siha hadi mwishoni mwa mwezi Novemba, 2018 na litafanyika katika vituo vyote vya afya , Zahanati zote pamoja na maeneo ya kutolea huduma yenye mkusanyiko mkubwa wa watu kama vile shule.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU MWENGE WA UHURU WILAYA YA SIHA

    June 25, 2025
  • Miradi ya Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha 2015

    June 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Siha tarehe 3 Juni,2025

    June 24, 2025
  • Mazoezi ya Maandalizi ya Mwenge wa Uhuru SIHA

    June 20, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.