• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

KAMATI YA USALAMA SIHA YAPONGEZA UJENZI KITUO CHA AFYA LAWATE

Posted on: August 21st, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amepongeza ubora na ufanisi wa mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Lawate unaotekelezwa kijiji cha Lawate Kata ya Kirua kwa fedha Shilingi Milioni 681.54 kutoka Serikali Kuu.

Mradi huo unajumuisha ujenzi wa miundombinu muhimu inayohitajika kutoa huduma za afya bora ikiwa ni pamoja na jengo la upasuaji, jengo la wodi ya wazazi, jengo la maabara, jengo la kufulia, jengo la wagonjwa wa nje (OPD), Uwekaji wa maji safi, choo cha nje,  mfumo wa maji taka, shimo la kondo la nyuma (placenta pit), kichomea taka na shimo la majivu (Ash Pit)

Akizungumza baada ya kukagua mradi huo leo Agosti 21, 2025 wakati wa ziara ya Kamati ya Usalama Wilaya ya Siha amesema ushirkiano uliopo kati ya viongozi wa kata ya Kirua na Kijiji cha Lawate, wananchi, kamati ya usimamizi wa mradi na ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha umechagiza kwa kiasi kikubwa kutekelezwa kwa ubora na ufanisi.

Amesema kukamilika kwa mradi huo kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa utawawezesha wananchi kupata huduma za afya karibu na kuwapunguzia umbali wanaotembea kufuata huduma za afya katika Hospitali ya Wilaya ya Siha.


Matangazo

  • TANGAZO UTOAJI WA CHANJO HOMA YA MAPAFU NA UTAMBUZI WA NG'OMBE KWA HERENI WILAYA YA SIHA September 10, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA 2025/2026 September 15, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA MTAKUWWA SIHA WAPATIWA MAFUNZO KUKOMESHA UKATILI

    October 02, 2025
  • Maadhimisho siku ya Usafi Mazingira,Wananchi wajitokeza kwa wingi

    September 26, 2025
  • RC BABU AIPONGEZA SIHA DC KWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MASHULENI

    September 24, 2025
  • TEF YATOA BIMA ZA MISHA KWA VIKUNDI VYA MWITIKIO WA HARAKA SIHA

    September 22, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.