• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Jamii SIHA yatakiwa kutokomeza ukatili dhidi ya watoto

Posted on: November 26th, 2021

Jamii ya Watanzania imetakiwa kuwalinda na kuwatunza watoto katika jamii ili kupata taifa endelevu na lenye ustawi na usawa wa kijinsia

Kauli hiyo imetolewa  uwanja wa CCM Sanya Juu tarehe 25 Novemba 2021 na Bi Elizabeth Mushi mratibu wa Kongamano  wakati akitoa neno la ufunguzi.

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson akipokea maandamano kongamano la watoto Siha

Alieleza kuwa matendo ya ukatili kwa watoto bado yapo katika jamii yetu na mengi yamekuwa yakisababishwa na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika jamii ikiwemo mfarakano wa ndoa pamoja na mmomonyoko wa maadili katika jamii.

Wanafunzi Siha wakiwa katika kongamano la kupinga ukatili dhidi ya watoto tarehe 25 novemba 2021

Katika hotuba yake, Mgeni rasmi wa kongamano hilo Kiwilaya Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson alieleza kuwa Serikali imejipanga vema kuhakikisha haki za mtoto zinalindwa kwa gharama yoyote bila kujali wadhifa wala nafasi ya mtu katika jamii.

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe. Thomas Apson akitoa hotuba kongamano la watoto Siha

Mgeni rasmi ameeleza ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini pamoja na mashirika yasiyo ya Kiserikali ikiwemo KWIECO kuendelea kuungana na Serikali katika kutokomeza matendo yote ya ukatili dhidi ya watoto katika jamii yetu

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA -KILIMANJARO June 30, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA SENSA, 2022 SIHA DC-KILIMANJARO July 27, 2022
  • TANGAZO MABADILIKO MAFUNZO YA SENSA 2022 SIHA DC-KILIMANJARO July 28, 2022
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani Siha kukutana tarehe 11 na 12 Agosti, 2022

    August 11, 2022
  • Baraza la Madiwani Siha kukutana tarehe 11 na 12 Agosti, 2022

    August 11, 2022
  • Ng'ombe wa kilo 900 kutoka Wilayani Siha

    August 08, 2022
  • Serikali yakamilisha ujenzi wa Maabara Dahani Sekondari-Siha

    August 04, 2022
  • Ona Zote

Video

SERIKALI YA RAIS SAMIA YAENDELEA KUBORESHA SEKTA YA KILIMO SIHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.