• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Jamii yashauriwa kusimamia Malezi ya Mtoto: DC SIHA

Posted on: February 29th, 2024

DKT TIMBUKA AZINDUA PROGRAMU JUMUISHI YA KITAIFA YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO WILAYA YA SIHA

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt. Christopher Timbuka amewataka wadau wa makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto kufanya kazi kwa kushirikiana kwa ukaribu ili  kutekeleza Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ili kuharakisha upatikanaji wa matokeo chanya kwa  mtoto.

Mhe Dkt Timbuka amesema hayo Februari 29, 2024 wakati wa uzinduzi wa Programu Jumuishi ya kitaifa ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto Wilaya ya Siha yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa makao ya Halmashauri.

Amesema ili kufikia malengo na kuifanya Wilaya ya Siha kuwa ya mfano wakati wa utekelezaji wa programu hiyo ushirikiano baina ya Serikali na wadau wengine katika sekta binafsi unahitajika.

“Niwakumbushe tu kwamba kila mtu kuanzia ngazi ya familia anawajibu mkubwa sana katika kuhakikisha tunakuwa na matokeo chanya na ya haraka kupitia programu jumuishi ya kitaifa ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto, ikiwa wazazi au walezi, wataalamu wa afya, lishe, maafisa ustawi wa jamii, maendeleo ya jamii na walimu watasimamia kikamilifu malezi ya watoto”  amesema mhe. Dkt. Christopher timbuka.

“Kupitia vituo vya malezi ya watoto wadogo mchana (Daycare Centers) na makao ya watoto yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa kuajili watoa huduma wenye sifa, kuzingatia kanuni za usafi, upatikanaji wa maji safi na salama, lishe bora, ulinzi na usalama, usimamizi wa afya za watoto vituoni na usajili wa vituo katika mamlaka husika kutasaidia watoto wote wataishi na kustawi” ameongeza Dkt Timbuka.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.