• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Jamii ya Wafugaji Wilayani Siha yapongezwa-Naibu waziri wa mifugo na uvuvi

Posted on: July 19th, 2018

Wafugaji Wilayani Siha wapongezwa:naibu Waziri Mifugo na Uvuvi

Wafugaji wa Wilaya ya Siha wapew

a pongezi na serikali kwa kutumia mifugo yao kujiletea  maendeleo  chanya katika jamii hizo.

Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na mhe. Abdallah Ulega  Naibu waziri wa mifugo na uvuvi alipokuwa katika ziara ya siku moja Wilayani Siha tarehe 19 julai,2018.

Katika ziara hiyo mhe Abdallah Ulega Naibu waziri wa mifugo na uvuvi alikutana na jamii ya wafugaji katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Ndinyika kata ya Karansi Wilayani hapa.

Katika salamu zake za Serikali alizozitoa kwa wananchi wa Siha,mhe Abdallah Ulega alianza kwa kuwapongeza jamii ya wafugaji Wilaya ya  Siha kwa kuwa mfano bora wa maendeleo hapa nchini.

“Napenda kuwapongeza kwa dhati  wananchi na jamii ya wafugaji  Siha kwani wakati napita njiani kuja katika mkutano huu nimeona majumba mazuri mliyojenga na pembeni yake  mmejenga maboma mazuri ya mifugo yenu hongereni sana” alisema mhe Ulega.

Alieleza kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Mhe.  John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania inawajali sana wafugaji ndiyo maana katika Wilaya ya Siha serikali  ilitoa hekta 1000 kutoka shamba la NARCO kwa ajili ya kulishia mifugo yenu.

“Serikali hii ya awamu ya tano ni serikali ya wanyonge na sisi kama viongozi tuliopewa dhamana na wananchi tutaendelea kusimamia maslahi mapana ya wananchi wetu hasa wafugaji na wakulima” alisema mhe. Ulega.

Katika ziara hiyo ya siku moja Wilayani Siha mhe naibu waziri pia alitembelea shughuli za  maendeleo ya mifugo katika shamba la kuku lililopo  Gararagua,shamba la mifugo Kafoi na kituo cha utafiti  wa mifugo cha Serikali TALIRI kilichopo  West-Kilimanjaro.

Jamii ya wafugaji Wilaya ya Siha  pia inajishughulisha na shughuli ya  kilimo kwa ajili ya kujipatia chakula na mahitaji mengine ya kuongeza kipato katika ngazi ya familia na jamii kwa ujumla

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.