• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Wananchi Siha kunufaika mpango uboreshaji afya ya jamii

Posted on: November 15th, 2018

Mpango  uboreshaji afya ya Jamii kuanza rasmi Siha Des,2018

Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 15.11.2018 imeweka makubaliano ya ushirikiano wa kuboresha mpango wa afya ya jamii kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia mwezi Desemba, 2018 hadi Desemba 2019.

Makubaliano ya ushirikiano wa kuboresha sekta ya afya  ya jamii yamefikiwa kati ya  Halmashauri ya Wilaya ya Siha na shirika lisilo la Kiserikali kwa jina Ubora Tanzania ambalo litatoa misaada mbalimbali kupitia chuo cha Tiba More House kutoka nchini Marekani.

Ushirikiano huo umetokana na juhudi kubwa zinazoendelea kufanywa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Valerian Juwal ambaye ameamua kutafuta wahisani mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kwa lengo la  kushirikiana na Serikali ya Tanzania ili kuboresha utoaji wa huduma za  sekta ya afya kwa jamii.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha  ndugu Juwal ameeleza  kuwa kwa ushirikiano uliofanyika Halmashauri ya Siha itapata manufaa makubwa ikiwemo kupata misaada ya kuboresha miundombinu katika vituo vya afya  Wilaya ya Siha pamoja na Hospitali yetu  ya Wilaya.

Alieleza kuwa, katika afya ya jamii wananchi watapata huduma za uchunguzi wa kifua kikuu,uchunguzi wa ngozi,huduma ya mama na mtoto, pia upimaji bure wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake na mabinti mashuleni.

Katika makubaliano hayo Siha itaweza kupata nafasi ya wataalam wake kupata mafunzo mbalimbali kutoka chuo cha Tiba More House kutoka Nchini Marekani ambapo wataalam hao watapatiwa elimu ya kuboresha afya kwa jamii ikiwemo elimu ya kuzuia maambukizi ya magonjwa mbalimbali,utaalam wa upasuaji na uboreshaji wa lishe bora kwa jamii.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha ndugu Valerian Juwal(wa tano kutoka kushoto) akiwa na wadau wa sekta ya afya walioshuhudia uwekaji wa makubaliano ya uboreshaji afya ya jamii Siha uliofanyika tarehe 15.11.2018

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa shirika hilo lisilo la kiserikali kupitia Ubora Tanzania ndugu Gerald Thames alisema kuwa mpango unatarajiwa kuanza mwishoni wa mwaka 2018 na utaanza kwa majaribio katika Kata mbili  zitazopendekezwa Wilayani Siha.

Katika mpango huu wanufaika wakubwa watakuwa wananchi wote wa Wilaya ya Siha,watumishi wa sekta ya afya pamoja na wataalam mbalimbali watakaokuja kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.