• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DKT TIMBUKA APIGA MARUFUKU UBAMBUZI KATIKA WILAYA YA SIHA

Posted on: March 22nd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe Dkt Christopher Timbuka amepiga marufuku zoezi la ubambuzi katika Wilaya kuanzia leo Machi 22, 2024 hadi utakapotengenezwa utaratibu mwingine mzuri zaidi na shirikishi wa wananchi kuchangia shughuli za maendeleo.

Mhe Dkt Timbuka ametoa marufuku hiyo leo Machi 22, 2024 wakati wa kikao cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kilichofanyika katika ukumbi wa makao makuu ya Halmashauri, ambapo amesema Kata au vijiji vitakavyobainika kuendesha zoezi la ubambuzi atawachukulia hatua za kisheria watendaji wa kata na vijiji husika.

Amesema kilichokuwa kinafanyika hivi karibuni ni uporaji wa mali za wananchi licha ya awali kuagiza zoezi hilo lifanyike kwa kufuata utaratibu, kanuni na sheria za nchi.

“Tunapenda maendeleo yafanyike kwenye Wilaya na wananchi washiriki kuchangia kidogo katika shughuli za maendeleo lakini utaratibu unaofanyika wa ubambuzi sio rafiki kwa hiyo nikisikia lolote kuanzia leo na watendaji mpo hapa, nitawachukulia hatua kwamba mmekiuka maagizo” amesema Dkt Timbuka.

“Hatutaruhusu tena zoezi la ubambuzi mpaka pale utaratibu mzuri na shirikishi utakapoandaliwa, tusifanye tena kuanzia leo machi 22, 2024” ameongeza dkt timbuka.

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe Dkt Christopher Timbuka (kulia) akiteta jambo na Dkt Haji M. Mnasi, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha wakati wa kikao cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kilichofanyika leo Machi 22, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Halmashauri.

Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Siha utapokelewa katika Kata ya Ormelili Aprili 04, 2024 ukitokea Kata jirani ya Hai na kukimbizwa katika maeneo mbalimbali ya wilaya, na Aprili 05, 2024 utakabidhiwa katika Wilaya ya Rombo.

Wajumbe mbalimbali wa kikao cha maandalizi ya mapokezi ya mwenge wa uhuru kilichofanyika leo Machi 22, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Halmashauri.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.