• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DCC SIHA YAPONGEZA MAENDELEO MAKUBWA YA WILAYA YA SIHA

Posted on: January 25th, 2024

Wakulima Wilaya ya Siha watakiwa kuzingatia Kilimo Bora

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amewaonya baadhi ya  wakulima wanaokausha mazao kwa kutumia sumu hasa maharage kuacha mara moja tabia hiyo kwani inahatarisha afya za Wananchi na Wakazi wa Wilaya ya Siha.

Mhe. Dkt Timbuka amesema hayo  Januari 25, 2024 kwenye Kikao Maalum cha Kamati ya Ushauri wa Maendeleo ya Wilaya ya Siha kilichokutana kwa lengo la kujadili mpango na Bajeti ya Wilaya ya Siha kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Kikao cha Kamati ya Ushauri wa Maendeleo Wilaya ya Siha  kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo vyama vya siasa,viongozi wa dini,wafanyabiashara,Taasisi za Serikali,Wakuu wa Divisheni na Vitengo,Watendaji wa Kata na Maofisa Tarafa.

Amesema nimepata taarifa kuwa wapo baadhi ya wakulima wanatumia sumu za kukausha majani na kupiga mashambani kwa lengo la kukausha magugu huku mazao yakiwa shambani jambo ambalo linaweza kuhatarisha afya za watu.

 “Tusitumie sumu kukausha mazao kwa tamaa za kupata fedha za haraka wakati tunaumiza afya za walaji wa bidhaa hizo tunazowauzia, naomba tuwasisitize wakulima kuacha mara moja” amesema Mhe. Dkt Timbuka

Akizungumzia suala la uboreshaji wa wa bajeti, Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amewashukuru wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Wilaya ya Siha (DCC) kwa mchango na ushauri wenye weledi na uwazi kwenye Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Amesema Mpango na Bajeti iliyojadiliwa itaiwezesha Wilaya kutekeleza wajibu na majukumu yake kwa ukamilifu na michango iliyotolewa na wajumbe wa kamati hiyo unalenga kuboresha utekelezaji na usimamizi wa miradi yote .

“Sasa kikubwa ambacho nawaomba Halmashauri, TARURA, RUWASA, TANESCO na Wadau wote  kuhakikisha kwamba hata hii bajeti tuliyonayo sasa ya mwaka wa fedha 2023/2024 tunaisimamia na kuitekeleza vizuri ili hata tunapopata Bajeti ya Mwaka ujao tusiwe na viporo vya mwaka huu wa fedha” Amesema Mhe. Dkt Timbuka.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MILIONI 316.5 YATOLEWA KWA VIKUNDI 48 WILAYANI SIHA

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Mchengerwa awapongeza Maofisa Habari Nchini Kwa uchapa kazi

    May 23, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.