• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DC Siha asisitiza miradi kukamilika kwa wakati na kuzingatia ubora

Posted on: November 4th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe.Thomas Apson amesisitiza miradi yote ya Serikali inayotekelezwa katika Wilaya ya Siha kufanyika kwa kuzingatia muda uliowekwa na miradi hiyo kuwa katika ubora na viwango vinavyotakiwa.

DC Siha mhe. Thomas Apson(pili kushoto) akiwa katika kijiji cha Mendai kukagua ujenzi wa madarasa 4

Kauli hiyo ameitoa leo tarehe 4 novemba 2021 alipokuwa katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Wilayani Siha ya kukagua utelezaji wa miradi  ya maendeleo  iliyopatiwa fedha hivi karibuni na Serikali ya awamu ya Sita kwa ajili  ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya ugonjwa wa uviko 19.

Mkuu wa Wilaya akiwa akikagua  kazi ya ujenzi wa madarasa matatu shule ya sekondari Karansi

Akiwa katika Kata ya Karansi kijiji cha Mendai inapojengwa shule shikizi ya msingi, Mkuu wa Wilaya ya Siha ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa madarasa manne unaoendelea katika kijiji hicho kwa gharama ya shilingi milioni 80.

DC Siha akiangalia kazi ya ujenzi inayoendelea shule shikizi ya Neema Kata ya Gararagua

Mkuu wa Wilaya ya Siha akiwa na baadhi ya  wanakamati  wa ujenzi shule shikizi ya Neema


Awali akimpokea Mkuu wa Wilaya ,Diwani wa Kata ya Karansi mhe. Duncan Urassa ambaye pia ni mwenyekiti wa Halmashauri ya Siha ameishukuru Serikali ya Rais Samia kwa kuipatia Halmashauri ya Siha fedha nyingi za miradi ya maendeleo kwa kipindi hiki 

DC Siha leo tarehe 4 novemba akiangalia kazi ya ujenzi  madarasa 3 Karansi Sekondari

Akiwa katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne shule shikizi ya msingi Neema Mkuu wa Wilaya amezitaka kamati zote zilizoundwa kusimamia mradi huo kutekeleza majukumu yao kwa uzalendo na uadilifu mkubwa ili fedha za Serikali zitoe matokeo makubwa kwa ustawi wa jamii.

Mhe.Thomas Apson akiwa Ndinyika katika ujenzi wa shule shikizi Namayani

Wanakamati wa kusimamia ujenzi katika shule shikizi Namayani wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Siha

Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya ya Siha  kwa siku ya leo tarehe 4 novemba 2021 amefanikiwa kutembelea miradi mitano ya ujenzi wa madarasa ya shule za msingi na Sekondari  katika Vijiji vya Mendai,Karansi,Ndinyika,Mawasiliano na Magadini 

DC Siha akiwa katika ukaguzi wa ujenzi wa darasa moja na ofisi katika shule ya Magadini Sekondari

  Baadhi ya Walimu na Mtendaji Kata ya Gararagua wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Siha eneo la ujenzi

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA UCHAGUZI JIMBO LA SIHA October 08, 2025
  • TANGO LA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE 2025 October 22, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA UPIMAJI DARASA LA NNE October 22, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Watumishi SIHA DC wapo tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu tarehe 29/10/2025

    October 24, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • SIHA kuendelea kutoa Elimu ya Lishe Bora kwa jamii

    October 23, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0766863946 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.