• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

DC DKT TIMBUKA AWAHIMIZA WANANCHI SIHA KUSIMAMIA HAKI ZA WATOTO

Posted on: June 16th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe. Dkt Christopher Timbuka amewahimiza wazazi/walezi kuhakikisha wanazisimamia na kutekeleza haki za watoto ili kuwawezesha kukua katika mazingira salama.

Mhe. Dkt Timbuka ametoa wito huo leo Juni 16, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Kiwilaya yaliyofanyika katika Kijiji cha Lekrimuni, Kata ya Karansi ambapo amesema ni wajibu wa wazazi/walezi na jamii kuhakikisha haki za mtoto zinasimamiwa na kutekelezwa.

Amesema haki mojawapo ya mtoto ni kuhakikisha mtoto anapata elimu na Serikali kwa kushirikiana na wananchi inahamasisha utoaji wa elimu na lishe bora mashuleni ili kuwatengenezea watoto mazingira bora ya kujisomea.

“Kwa hiyo naomba niwasihi sana, masuala ya ukatili, kutowapa watoto lishe bora, na kuwashirikisha ni muhimu sana tukayazingatia na kijadilianana watoto wetu” amesema Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt Timbuka.

Akitoa maelezo mafupi kuhusu maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii Marco Masue amewahimiza wananchi wa Wilaya ya Siha kuendelea kutafakari upatikanaji wa haki za watoto tangu zilipoanzishwa na sera ya Maendeleo ya Mtoto ya Mwaka 2008.

Amewasihi wazazi kuendeleza dhana ya mtoto wa mwenzako ni wako na kumchukulia mtoto kama mtu muhimu kwa ajili ya ustawi wa familia na jamii kwa ujumla.

Kaulimbiu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika kwa mwaka 2025 inasema, “Haki za Mtoto: Tulipotoka, Tulipo, na Tuendako.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA DC JUNI 2025 June 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • RENEAL INTERNATIONAL YAKABIDHI MAABARA ZA TEHAMA NNE SIHA

    July 24, 2025
  • HRT SACCOS YAZIDI KUNG’ARA YARUDISHA KWA JAMII

    July 22, 2025
  • Watumishi SIHA DC wamkaribisha Mkurugenzi mpya

    July 18, 2025
  • Rais Samia apokea ujumbe kutoka Congo Brazzaville

    July 08, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.