• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Chanjo ya Surua na Rubela kutolewa watoto chini ya miaka mitano

Posted on: February 9th, 2024

CHANJO ya Surua na Rubela kutolewa tarehe 15-18/2/2024

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt Paschal Mbota kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji amewaomba watendaji wa Kata na Vijiji katika Wilaya ya Siha kuwahamasisha wananchi kuwapeleka watoto wenye umri  chini ya miaka mitano kupata chanjo ya Surua na Rubela itakayotolewa kuanzia Februari 15 hadi 18.

Dkt Mbota amesema hayo Februari 08, 2024 wakati wa kikao kazi cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha.

 Ameeleza kuwa wananchi wanatakiwa na kushauriwa kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa surua na Rubela kwa kuwapeleka watoto wote wakapate chanjo katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya ili isaidie kuwakinga watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

 Aidha,Dkt Mbota amesema Serikali ya awamu ya Sita imeweka mikakati ya kupambana zaidi ya magonjwa ya mlipuko na amewaomba watendaji wa Kata na Vijiji  kushirikiana na wananchi kutoa elimu na kufanya usafi katika maeneo yao ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko kama vile  kipindupindu, Ugonjwa wa macho mekundu (Red Eyes) na magonjwa mengine.

 “Kuna baadhi ya mikoa imeripotiwa kupata magonjwa haya ya mlipuko hivyo niwaombe Watendaji wa Kata na Vijiji kushirikiana na wataalamu wa afya kutoa elimu hususani kwa wafanyabiashara wa vyakula kufanya kazi zao kwenye mazingira safi na salama kwani magonjwa haya yanasababishwa na uchafu” amesema Dkt Mbota

 “Nashauri tutumie sheria ndogo za vijiji kuhakikisha mazingira ya wanaofanya biashara ya vyakula na matunda yanakuwa safi lengo kubwa likiwa ni  kuepukana na magonjwa ya mlipuko ambayo yanaweza kuleta madhara kwa afya ya binadamu ” amesema Dkt Mbota.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.