• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Bustani ya Wanyama pori Wilayani Siha Kilimanjaro yaendelea kuwa kivutio

Posted on: September 2nd, 2022

Waziri wa Mifugo na Uvuvi mhe.Mashimba Ndaki leo ijumaa 2 septemba,2022 ametembelea bustani ya wanyama pori iliyopo Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro na kujionea mengi kuhusu utalii wa Wanyama pori kupitia bustani hiyo.

mhe. Mashimba Ndaki waziri wa mifugo na uvuvi(wa tatu kutoka kulia) aliangalia simba katika bustani ya Wanyama Siha

Akiwa katika bustani hiyo mhe, Waziri wa Mifugo ametoa pongezi kwa mmiliki wa bustani hiyo kwani amefanya jambo kubwa la uwekezaji katika mkoa wa Kilimanjaro na Taifa kwa ujumla kwa kuwa na idadi kubwa ya wanyama pori akiwemo simba,Twiga ,Pundamlia na wengine wengi.

mhe. waziri wa mifugo na Uvuvi akiwa na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika bustani ya wanyama (Serval WildLife) Wilayani Siha

Ametoa wito kwa Watanzania wote kutembelea bustani hiyo iliyopo Wilaya ya Siha Kilimanjaro  na kucheza na wanyama kama vile simba kitu ambacho ni adimu sana kupatikana katika maeneo mengine ya hapa nchini,Naomba wanasiha na Kilimanjaro na Watanzania kwa ujumla mtembelee bustani hii ya wanyama pori ninyi na familia zenu.

mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki leo 2 Septemba,2022 akizindua shamba la kuku Aviagen East Africa Limited West Kilimanjaro Wilaya ya Siha

Mhe . Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametembelea bustani hiyo ya wanyama akiwa njiani kuelekea shamba la kuku Aviagen East Africa Limited ambapo ameweka jiwe na msingi la shamba hilo na kufanya ufunguzi wa mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku Tanzania na Afrika mashariki unaokadiriwa kuwa na gharama ya zaidi ya Bilioni 35 fedha za kitanzania.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.