• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Bilioni 55.5 Zatekeleza Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Siha

Posted on: July 5th, 2024

Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha Mhe Dkt Godwin Mollel amesema ndani ya miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wilaya ya Siha imetekeleza miradi yenye thamani ya shilingi Bilioni 55.5 katika sekta ya elimu, afya, Barabara na miradi mingine.

Mhe Dkt Mollel amesema hayo Julai 05, 2024 katika mkutano na wananchi wa Kata ya Nasai baada ya kukagua na kuzindua ujenzi wa vyumba vinne vya  Madarasa na Matundu Saba ya Vyoo vilivyojengwa kwa Shilingi Milioni 114.7 katika Shule ya Sekondari Sanya Juu ili kuboresha mazingira ya kujifunza na kufundishia kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita.

Amesema awali shule ya sekondari Sanya Juu ilijenga Mabweni Mawili, Vyumba Saba vya Madarasa na Matundu 14 ya vyoo kwa Shilingi Milioni 464.4 ili kuondoa msongamano wa wanafunzi darasani na kutatua changamoto ya wanafunzi kulala madarasani.

“Wanafunzi wa Kata ya Ormelili walikuwa wanatembea umbali wa kilomita 32 kila siku Kwenda Sikirari Sekondari kufuata elimu lakini Rais Samia Suluhu Hassan amewapatia Milioni 584.2 wamejenga shule mpya ya Sekondari na sasa wanafunzi hawatoacha shule kwa sababu ya umbali wa kupata elimu” amesema Mhe dkt mollel.

“Lakini pia Kata ya Mitimirefu wanafunzi walikuwa wakitembea umbali wa Kilomita 14 kwenda namwai sekondari kupata elimu wakipita polini kwenye wanyama wakali, baada ya kuifikisha changamoto hiyo kwa rais samia suluhu Hassan, tayari wamepokea shilingi milioni 584 ili wajenge shule mpya ya sekondari” ameongeza Mhe Dkt Mollel.

Katika hatua nyingine, Mhe Dkt Mollel amesema ili kutatua changamoto ya ukosefu wa maji katika Wilaya ya Siha, serikali imetoa Shilingi Bilioni 6 kupanua skimu ya maji ya Gararagua kwenda katika vijiji nane vya Mawasiliano, Leklumuni, Karansi, Kandashi, Makiwaru, Mkombozi, Olkolili na Ormelili.

Mhe Dkt Godwin Mollel amefanya ziara katika kata za Livish, Kirua, Nasai na Ivaeny ambapo ameweka jiwe la msingi ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Mowonjamu ambayo imepokea shilingi milioni 50 ili kumalizia na milioni 100 kwa ajili ya vifaa tiba, amezindua Vyumba vya Madarasa na matundu ya vyoo Sanya Juu Sekondari na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Vyumba sita vya madarasa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 150 na Bweni Moja linalojengwa kwa shilingi Milioni 130 katika shule ya Sekondari Fuka.

Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha Mhe Dkt Godwin Mollel akizungumza na wananchi wa Kata ya Nasai baada ya kukagua na kuzindua ujenzi wa vyumba vinne vya  Madarasa na Matundu Saba ya Vyoo vilivyojengwa kwa Shilingi Milioni 114.7 katika Shule ya Sekondari Sanya Juu ili kuboresha mazingira ya kujifunza na kufundishia kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita.

Wananchi wa Kata ya Nasai wakimshangilia Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha Mhe Dkt Godwin Mollel alipowasili kwenye eneo la Mkutano baada ya kukagua na kuzindua ujenzi wa vyumba vinne vya  Madarasa na Matundu Saba ya Vyoo vilivyojengwa kwa Shilingi Milioni 114.7 katika Shule ya Sekondari Sanya Juu ili kuboresha mazingira ya kujifunza na kufundishia kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KAZINI SIHA DC OKTOBA 2024 October 21, 2024
  • TANGAZO LA KOSEGEZWA MBELE UKODISHAJI WA MASHAMBA January 22, 2025
  • TANGAZO NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA HALMASHAURI YA SIHA KILIMANJARO February 18, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Rais Samia aendelea kuitangaza Tanzania Kimataifa

    April 11, 2025
  • Uzinduzi Sera ya Ardhi Siha yashiriki

    March 17, 2025
  • Umoja wa Ulaya kuendelea kushirikiana na Tanzania

    March 12, 2025
  • Ona Zote

Video

WATUMISHI SIHA DC WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.