• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Kupata leseni ya Biashara

JINSI YA  KUPATA LESENI YA BIASHARA:-

  • Kupata fomu ya maombi ya leseni za biashara kutoka Ofisi ya Biashara iliyoko karibu.
  • Kujaza fomu ya maombi ya leseni.
  • Kupitisha katika Serikali ya Kijiji(maombi mapya) ya Vijijini
  • Kupitisha maombi kwa Afisa afya (maombi mapya)
  • Kupitisha maombi kwa Afisa biashara
  • Kupitisha kwa Afisa mipango Miji/Halmashauri ya Wilaya/Manispaa na Jiji
  • Kupitisha Halmashauri ya Wilaya /Miji/Manispaa/Jaji

Maelezo ya zaidi.

Baada ya kupitia hatua hizo Mfanyabiashara anatakiwa kwenda Ofisi za Mamlaka ya Mapato kwa ajili ya usajili wa kupata namba ya utambulisho ya mlipa kodi(TIN) pamoja na Tax clearance ambayo inaonyesha haidaiwi kodi.

Pia baada ya kupata namba ya utambulisho na Tax clearance atawasilisha hati hizo Ofisi ya biashara ili aweze kuandaliwa hati ya malipo ya ada ya leseni kutokana na biashara atakayofanya .

Hati hiyo ya malipo ataiwasilisha benki kwa ajili ya kulipia ada stahiki, na baadae atairudisha hati ya malipo toka benki ikiambatana na benki slip ambayo imekwishalipiwa kwa Afisa biashara kwa ajili ya kupewa leseni ya biashara.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO SIHA DC KILIMANJARO SEPT.2025 September 16, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA KWANZA 2025/2026 September 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 06, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Kura yako, Haki yako,Jitokeze kupiga kura

    October 07, 2025
  • Kura yako,Haki yako,Jitokeze kupiga kura

    October 06, 2025
  • Kura yako, Haki yako,Jitokeze kupiga kura

    October 05, 2025
  • Kura yako,Haki yako,Jitokeze kupiga kura

    October 04, 2025
  • Ona Zote

Video

MAOFISA MIFUGO SIHA WAPATIWA VITENDEA KAZI VYA KISASA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.