• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Utalii

Halmashauri ya Wilaya ya Siha inazo fursa nyingi za kuwekeza katika sekta ya utalii hususani,nafasi za kujenga Hotel mbalimbali kwa ajili ya Watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro kupitia lango la Londrosi gate.

 Halmashauri ya Wilaya ya Siha bado uwekezaji katika Hotel na Restaurents haujakidhi mahitaji ya Wageni mbalimbali wanaoingia katika Wilaya ya Siha. Miundombinu yetu ni bora na inakidhi viwango kwa wageni na wenyenyeji kusafiri maeneo yote ya Wilaya ya Siha bila kikwazo chochote kwani barabara zetu zinapitika mwaka mzima.

Halmashauri ya Wilaya ya Siha inawakaribisha Watanzania na Raia wa kigeni kuwekeza katika ujenzi wa Hotel za Kitalii pamoja na nyumba za kulala wageni zilizo bora katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Siha ambapo fursa hii bado inahuhitaji mkubwa katika Wilaya yetu. kutokana na uhaba wa huduma hizi wageni wengi wanapata huduma hizi mjini Moshi na katika jiji la Arusha jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa wageni na watanzania wanaotembelea Wilaya ya Siha.

Wilaya ya inalo eneo ambalo wageni wakipanda mlima wanaweza kuwaona wanyama pori  mbalimbali  wakiwemo Twiga,Pundamlia,Swala ,Nyumbu na Pofu ambapo wanyama hawa wanaonekana karibu na lango la kuingilia Londrosi gate ,ambapo lango hili wageni hupita kwa wingi ili kupanda mlima Kilimanjaro kwa urahisi zaidi. 

Wilaya ya Siha pia inaoulinzi wa kutosha maeneo yote hii imetokana na kambi kubwa ya chuo cha Polisi Moshi kufanyika katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Siha. Karibu sana Wilaya ya Siha uwekeze kwa maendeleo yako kiuchumi pamoja na maendeleo ya Wilaya na Taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI YA SIHA ILIYOIDHINISHWA MWAKA 2022/2023 August 18, 2022
  • TANGAZO KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA SHILINGI MIL.480 UJENZI WA MADARASA MAPYA SIHA DC KILIMANJARO October 13, 2022
  • TANGAZO MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI BAJETI MWAKA 2023.2024 January 27, 2023
  • Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 shule za Halmashauri ya Wilaya ya Siha-Kilimanjaro July 14, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Siha akabidhiwa Ofisi

    February 01, 2023
  • Mkuu mpya wa Wilaya ya Siha aapishwa na kuanza kazi rasmi

    February 01, 2023
  • Makadirio ya Bajeti Siha DC 2023.2024

    February 01, 2023
  • Mkutano Maalum Baraza la Madiwani Siha 31 Januari,2023

    January 31, 2023
  • Ona Zote

Video

MADIWANI HALMASHAURI YA SIHA WAPATA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA FEDHA
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.