• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2018/2019
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Ugavi na Manunuzi

KITENGO CHA UGAVI NA MANUNUZI .

UTANGULIZI:

Kitengo cha Ugavi na Manunuzi kipo kwa Mujibu wa Kifungu 37 cha Sheria Na. 7 ya Manunuzi ya Umma  ya Mwaka 2011 ,       Katika kutekeleza majukumu  pia inaongozwa na Kanuni za Manunuzi ya Umma ya mwaka 2013, Kanuni za Mamlaka ya  Bodi ya Zabuni  ya Halmashauri za Wilaya ya mwaka 2014, Marekebiso ya Sheria na Kanuni za Manunuzi ya Umma za mwaka 2016.

Kitengo Cha Ugavi na Manunuzi kinafanya kazi kwa karibu na Idara zote ikiwa kama kiungo katika kutimiza majukumu yake kuwezesha Idara nyingine katika utekelezaji kazi za kutumikia jamii ya Wilaya ya Siha .

MALENGO YA KITENGO CHA UGAVI NA MANUNUZI

-Kuhakikisha Sheria na Kanuni za Manunuzi zinazingatiwa.

-Kuhakikisha Huduma na Bidhaa zinapatikana kwa wakati ili Halmashauri iweze kutekeleza majukumu mengine yanayohitjika na jamii.

-Kuhakisha Bidhaa , Kazi za Ujenzi na Huduma zote inakuwa na Thamani ya Fedha

-Kuwepo na Uwazi katika Fursa mbalimbali za Zabuni.

-Kuwepo na Usawa katika kutoa Zabuni mbalimbali.

 

MAJUKUMU YA KITENGO CHA MANUNUZI

  • -Kushauri katika shughuli za Manunuzi na Wakati wa Kuuza au kuondoa Mali ya Umma kwa njia yoyote iliyo halali.
  • -Kutangaza Fursa za Zabuni mbalimbali katika Halmashauri
  • -Kuandaa Mikataba na Vitabu mbalimbali vya Zabuni
  • -Kuandaa Mpango wa Manunuzi kutokana na Bajeti ya Halmashauri
  • -Kutoa Fursa kwa Wazabuni mbalimbali wa Huduma na Bidhaa zinazohitjika na Halmashauri.
  • -Kusimamia na kuweka kumbukumbu za  Mali za Umma.


MAFANIKIO YA KITENGO CHA UGAVI NA MANUNUZI

  • Uitikio wa wazabuni mbalimbali kujitokeza kuomba kazi  katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha hii ni kutokana na kuongezeka kwa uelewa  wa Sheria za Manunuzi na Kanuni zake.


 

Matangazo

  • HOTUBA YA RAIS KULIHUTUBIA BUNGE LA 12 TAREHE 13 NOVEMBA 2020 November 13, 2020
  • TANGAZO LA VIWANJA SIHA-KILIMANJARO December 08, 2020
  • TAARIFA YA MKURUGENZI MTENDAJI MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA WAH.MADIWANI TAREHE 10.12.2020 December 10, 2020
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA BARAZA LA WAH. MADIWANI H.W SIHA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA(JULAI HADI SEPTEMBA 2017) November 24, 2017
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Hospital ya Wilaya ya Siha yaendelea kupokea neema ya madawa na vifaa Tiba

    January 18, 2021
  • MATOKEO DARASA LA NNE SHULE ZA MSINGI WILAYA YA SIHA 2020 HAYA HAPA

    January 15, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE ZOTE WILAYA YA SIHA 2020/2021

    January 15, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE SHULE ZA SIHA 2020/2021 HAYA HAPA

    January 15, 2021
  • Ona Zote

Video

Siha yapogezwa ujenzi kituo cha Polisi
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Sanya Juu-Siha Kilimanjaro

    sanduku la Posta: S.L.P 129 Sanya Juu

    simu: 027-2970677

    Mobile: 0622643108

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.