• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Jarida Mtandaoni Kila mwezi
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2022/2023
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Zahanati Roseline,Sinai na Messe zapatiwa fedha za ujenzi na Serikali

Posted on: February 12th, 2021

Zahanati  Sinai,Roseline na Messe zapatiwa fedha za ujenzi na Serikali

Halmashauri ya Wilaya ya Siha hivi karibuni  imepokea jumla ya shilingi milioni 150 kutoka Serikali  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kuendeleza ,kuboreshana  kukamilisha  miundombinu katika Zahanati za Messe Kata ya Livishi,Sinai Kata ya Ormelili pamoja na Roseline kata ya Ndumeti.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha ndugu Ndaki Mhuli alipokuwa katika ziara fupi ya kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Siha inayotekelezwa na Serikali ya Tanzania pamoja na miradi inayotekelezwa na Halmashauri ya Siha kwa kutumia  fedha za mapato ya ndani.

Alieleza kuwa katika fedha zilizopokelewa na Halmashauri kila Zahanati itapata jumla ya shilingi milioni 50 ambazo zitasaidia kukamilisha miundombinu katika Zahanati husika kwa lengo la kuwezesha utoaji wa huduma bora kwa jamii na wananchi wa Siha.

Napenda kuishukuru Serikali yetu tukufu ya awamu ya tano kwa kutupatia Halmashauri ya Siha fedha hizi kwa wakati kwani zitasaidia kuboresha miundombinu ya ujenzi katika Zahanati za Messe,Sinai na Roseline alisema Ndaki Mhhuli.

Alieleza pia kuwa Kazi za kukamilisha miundombinu katika Zahanati zilizopata fedha zitaanza hivi karibuni na maandalizi mbalimbali yameshaanza kufanyika.

Ndaki Mhuli Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha ametoa wito kwa Watumishi wa umma na wale wote watakaopewa dhamana ya kusimamia ukamilishwaji wa ujenzi katika maeneo husika wahakikishe kuwa fedha zinatumika vizuri kwa malengo yaliyopangwa.

Matangazo

  • JARIDA MTANDAO TOLEO LA 26 August 29, 2025
  • TANGAZO UTOAJI WA CHANJO HOMA YA MAPAFU NA UTAMBUZI WA NG'OMBE KWA HERENI WILAYA YA SIHA September 10, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI SIHA August 28, 2020
  • BAJETI YA HALMASHAURI MWAKA 2020/2021 September 20, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Balozi wa Marekani Nchini Tanzania atembelea Hospitali ya Kibong'oto

    September 10, 2025
  • Mitihani mwema Darasa la Saba Wilaya ya Siha 2025

    September 10, 2025
  • Kila la kheri Darasa la Saba 2025

    September 10, 2025
  • Kijiji cha Munge na mafanikio ya Shule mpya ya Msingi

    September 09, 2025
  • Ona Zote

Video

MOTO WA SIHADC MICHEZO SHIMISEMITA 2025
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Siha /Siha District Council

    sanduku la Posta: 5 BR- Sanya Juu -Elerai S.L.P 129, 25482 SIHA

    simu: 0272-970677

    Mobile: 0713164432 DED Siha

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.