• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Serikali |
    • Malalamiko |
Siha District Council
Siha District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Siha

  • Mwanzo
  • Historia
    • Dhima na Dira
    • Wasifu wa Wilaya
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Idara ya Mipango,Takwimu na Umwagiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
    • Kata
      • Sanya Juu
      • Gararagua
      • Karansi
      • Biriri
      • Songu
      • Makiwaru
      • Olkolili
      • Ormelili
      • DonyoMuruak
      • Ngarenairobi
      • Ndumet
      • Mitimirefu
      • Livishi
      • Nasai
      • Kirua
      • Kashashi
      • Ivaeny
  • Huduma zetu
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • huduma za Watumishi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Tourism
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Videos
    • Hutuba
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi mipya
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Wajumbe Mkutano wa ALAT
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba vikao 2018/2019
    • Ratiba M/Kiti Halmashauri

Mkaguzi wa Ndani

MKAGUZI WA NDANI

  • MAANA YA UKAGUZI WA NDANI

Kwa mujibu wa mwongozo wa Ukaguzi wa ndani wa Kimataifa (IPPF) Ukaguzi wa ndani ni shughuli huru, yenye lengo maalum la kutoa uhakiki na ushauri unaolenga kuongeza tija na kuboresha utendaji wa Taasisi kwa kuchambua na kuboresha usimamizi wa vihatarishi, kuimarisha udhibiti wa ndani na utawala bora.

2.0 WAJIBU WA MKAGUZI WA NDANI

Kifungu namba 13 cha LAFM 2009 inaelekeza kuwa Mkaguzi wa Ndani chini ya uangalizi na maelekezo ya Afisa Masuuli, atawajibika kupitia mifumo ya fedha ya Halmashauri ili kuhakikisha maslahi ya Halmashauri yanalindwa.

  • Kuhakiki iwapo mapato yote ya Halmashauri yanapokelewa,yanarekodiwa katika kumbukumbu za halmashauri na kupelekwa benki.
  • Kuhakikisha malipo yote yanayofanyika yameidhinishwa kwa utaratibu unaokubalika.
  • Taratibu za manunuzi zinafuatwa na mali zote zinazonunuliwa zinakaguliwa, zinapokelewa na kurekodiwa katika kumbukumbu za Halmashauri.
  • Nyaraka zote muhimu, vitabu, register na taarifa zinazotumika zinahifadhiwa mahali salama.
  • Kuhakikisha kunakuwepo kwa (Value for Money) kwenye Miradi ya maendeleo.
  • Kuhakikisha iwapo kuna udhibiti wa ndani na utawala bora.
  •  

3.0 NJIA ZINAZOTUMIKA KATIKA UKAGUZI

  • Mahojiano.
  • Kupitia nyaraka mbalimbali.
  • Kutembelea maeneo mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa kila siku wa taasisi.
  • Kupitia stoo leja, na kuhakiki mali za kudumu na zisizo kuwa za kudumu

Matangazo

  • HOTUBA YA RAIS KULIHUTUBIA BUNGE LA 12 TAREHE 13 NOVEMBA 2020 November 13, 2020
  • TANGAZO LA VIWANJA SIHA-KILIMANJARO December 08, 2020
  • TAARIFA YA MKURUGENZI MTENDAJI MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA WAH.MADIWANI TAREHE 10.12.2020 December 10, 2020
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KAWAIDA BARAZA LA WAH. MADIWANI H.W SIHA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA(JULAI HADI SEPTEMBA 2017) November 24, 2017
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Hospital ya Wilaya ya Siha yaendelea kupokea neema ya madawa na vifaa Tiba

    January 18, 2021
  • MATOKEO DARASA LA NNE SHULE ZA MSINGI WILAYA YA SIHA 2020 HAYA HAPA

    January 15, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI SHULE ZOTE WILAYA YA SIHA 2020/2021

    January 15, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE SHULE ZA SIHA 2020/2021 HAYA HAPA

    January 15, 2021
  • Ona Zote

Video

Siha yapogezwa ujenzi kituo cha Polisi
Video zingine

Viunganisho vya haraka

  • Wasifu wa Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Wasifu wa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri
  • Soma taarifa zote ndani ya tovuti
  • Blog ya Halmashauri
  • facebook ya Halmashauri
  • Matokeo ya Taifa Darasa la Saba 2016 Siha
  • kuomba pasipoti kupitia mtandaoni
  • WARAKA WA MAVAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
  • Fomu za Likizo Watumishi wa Umma

Viunganisho Vinavyohusiana

  • Basic Education Statistics
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya Takwimu za taifa
  • Idara ya habari maelezo
  • tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Wananchi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotazama

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Sanya Juu-Siha Kilimanjaro

    sanduku la Posta: S.L.P 129 Sanya Juu

    simu: 027-2970677

    Mobile: 0622643108

    Email: ded@sihadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Ya eneo

Copyright ©2017 SihaDistrictCouncil . All rights reserved.